REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,602
- 11,532
Sio upuuzi nyie ni masikini na harusi zenu ni za kimasikini.Huo upuzi wa kiafrika ndio unataka tuige? Huu upuzi utaupata nchi za ushuzi kama Nigeria na Tanzania. A wedding should be as brief as possible. Invite less than 50 people and get your wife.
Ukisikia tu hata huyu demu anaongea unajua kuwa anashangaa na haelewi nini kinaendelea, anasema "kuna harusi ya bbibi harusi, harusi ya bwana harusi" but reality ni kuwa:
Inaanza Kitchen Party, wanawake watupu then Send-Off, then Wedding Party. Ila kwa walio wengine kuna zaidi yaani baada ya wedding party kuna Inner Party, hii ni wale waliofanikisha,
Hao wa Tanzania unaowaongelea ndio hawa wakundustan wenzako wanatamani wangezaliwa huko sababu ni party after party daily?
View: https://vm.tiktok.com/ZMkK298kA/