Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Nadhani walienda kupiga picha na some short videos for tiktok and instagram. 🤣🤣🤣 si unajua vijamaa vinapenda kuonekana vina maisha mazuri.? I think it’s the reason watu wa hoteli wameamua kuwalipisha. 🤣🤣🤣Nchi ya kitumwa utaijua tu kwanza wamefungiwa gate wasitoke as if kulikuwa na gate entrance! Kingine unaingiaje mahali huwezi nunua hata soda? Is this the country that claims to be the perfect example of hospitaity?