Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
ati helium tz reserves are worth 3.5 billion dollars...mimi nilidhani hata ni zaidi...kumbe ni pesa kidogo tu.....Oil reserves Kenya are worth more than 60 Billion dollars...hawa watu joo
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png

Turkana oil to earn Kenya Sh6.4 trillion in 23 years
Sasa unapigia hesabu mafuta na sisi tukipigia reserve ya mafuta plus haya tutakayopewa BURE na M7
 
mizigo ya rwanda na burundi hata Mombasa tu inazizidi...hakuna pesa hapo...pesa zipo Uganda na South Sudan...our SGR is heading in that dirction bro...You can have rwanda and Burundi...small countries
emoji23.png
emoji23.png
Mnakosaga cha kuongea basi mkishindwa what about Congo? Nayo pia ni small
 
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
ati helium tz reserves are worth 3.5 billion dollars...mimi nilidhani hata ni zaidi...kumbe ni pesa kidogo tu.....Oil reserves Kenya are worth more than 60 Billion dollars...hawa watu joo
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png

Turkana oil to earn Kenya Sh6.4 trillion in 23 years
Utakuwa umepagawa wewe, 800M barrels hakuna investor yeyote anayetaka kuja kuwekeza katika mafuta kidogo kiasi hicho, ona jinsi wanavyogombania 6B barrels za Uganda, kama Kenya itapata hiyo pesa unayosema, Uganda itapata kiasi gani?, endelea kuota ndoto
 
Natembea Tz very soon specifically Dar es salaam with my Nikon D3300 Camera na nitakuwa hapa JF kila siku posting the good and the bad. Kaka omba sana zile picha unapost hapa si za kuchagua coz will be there for 17days...🙂
welcome ndugu ujionee maendeleo yaliyofanywa kwa muda mfupi sana
 
Mnakosaga cha kuongea basi mkishindwa what about Congo? Nayo pia ni small
SGR yenu imefika Congo?
emoji23.png
emoji23.png
punguza bangi wewe
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
kwanza hata hela za kujenga reli ya kisasa Congo haina....na kama itapata basi tarajia miaka kama 30 hivi kabla reli ifike Congo....kisha nikukumbushe, rli ya Kenya inaenda pia Congo Rwanda na Burundi...we will have to share
emoji23.png
emoji23.png

East-Africas-US14-Billion-Standard-Gauge-Railway-in-red-Kenya-Railways-Corporation.jpg
EA-Rail.jpg
 
mizigo ya rwanda na burundi hata Mombasa tu inazizidi...hakuna pesa hapo...pesa zipo Uganda na South Sudan...our SGR is heading in that dirction bro...You can have rwanda and Burundi...small countries
emoji23.png
emoji23.png
South Sudan zaidi ya silaha wanamizigo gani?, mafuta yao wamekataa yapitie Kenya, na hapo ndipo kwenye pesa
 
SGR yenu imefika Congo?
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
kwanza hata hela za kujenga reli ya kisasa Congo haina....na kama itapata basi tarajia miaka kama 30 hivi kabla reli ifike Congo....kisha nikukumbushe, rli ya Kenya inaenda pia Congo Rwanda na Burundi...we will have to share
emoji23.png
emoji23.png

East-Africas-US14-Billion-Standard-Gauge-Railway-in-red-Kenya-Railways-Corporation.jpg
EA-Rail.jpg
Unaota. Kwikwikwikwi. Ndoto tamu sana hito.
 
Tourism in 2017 has been good despite the elections calendar and opposition instigated rerun violence. A cruise ship every 2 weeks even before the Cruise Terminal is completed. Thanks to CS Balala, KTB and stakeholders.

Arriving now at MombasaPort with over 476 tourists and 370 crew @tunajibu @MagicalKenya @TRA_ke [HASHTAG]#HappyHolidays[/HASHTAG] My Gov on Twitter
ver-jpg.655947
silver-jpg.655948
How much tourism revenue mwaka huu?, achana na mapicha ya kukupa matumaini ya kijinga, unaposema utalii upo vizuri tunataka kuona pesa, mwaka huu Tanzania imepata mara nne zaidi ya Kenya
 
mafuta yepi?
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
wachanga jokes sometimes....ati 3.5 billion...hio ni pocket change bana
emoji23.png
emoji23.png
Najua ni wivu tu lakini utakaa sawa trillion 7 sio ndg.. Na hayo ni makadirio ya chini wakishamalza final research ndio tutapata majib kamili.. Tumeamua kutumia Rasilimali to the maximum
 
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
ati helium tz reserves are worth 3.5 billion dollars...mimi nilidhani hata ni zaidi...kumbe ni pesa kidogo tu.....Oil reserves Kenya are worth more than 60 Billion dollars...hawa watu joo
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png

Turkana oil to earn Kenya Sh6.4 trillion in 23 years
tanzani has natural gas with capacity discovered 57 trillion cf my friend unaambiwa bado ipo ambayo haijagundulika hehehe inaweza kutumika zaidi ya miaka 300 😀😀😀😀😀
 
wapi hizo hela? mbona bado LDC?
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
 
mizigo ya rwanda na burundi hata Mombasa tu inazizidi...hakuna pesa hapo...pesa zipo Uganda na South Sudan...our SGR is heading in that dirction bro...You can have rwanda and Burundi...small countries
emoji23.png
emoji23.png
mbona huzungumzii pipeline kutoka uganda iliwauma vibaya mno 😀😀😀😀 na congo wataonganisha mafuta yao through same pipeline😛😛😛
 
sijakataa kuwa zipo ila wanaotumia hata 100 hawafiki
emoji23.png
emoji23.png
ungejua jinsi watu hapa wanazidharau sana hizo karanga hata hungezitaja tena ndugu...
emoji23.png
emoji23.png
But mbona wanazidi kuongeza maeneo na sasa zinapatikana kila county ya Kenya.. Kama kuongezeka kwa consumption ni Nini?
 
Back
Top Bottom