Tonny MTZ
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 459
- 709
Rwanda na Burundi wameopt for our SGR route instead of yours[emoji23][emoji23] na wataiingizia nchi mapato makubwa.. Congo the same.. Uganda nao wamechukua route yetu ya oil pipeline wakaitupilia mbali Kenya[emoji23][emoji23] Zambia wanatumia TAZARA Malawi wanatumia bandari yetu[emoji23][emoji23] so watch out.. Nyie ndio tunawalisha mpk basi.. Bila bidhaa zetu mnakufa njaa nyieNchi ya Viwonder....Before you get there,Rwanda and Burundi will have overtaken you,....Sleepy as always.