mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,781
- 6,481
Na bado😀😀😀😀😀 leo unatoa povu gumu
Na bado😀😀😀😀😀 leo unatoa povu gumu
2o years kenya itakua imelala sio? 😀😀😀yani miaka 10 tu mumeanza kilia hvi je ingekua 20yrs ingekuaje, tulikua tunasubiri tusomeshe vizazi vyetu viwe na elimu kwanza ndio tuanza kutumia rasimali
bro link yako haifunguki au link ya magumashi pia😀asante kwa porojo...hii hapa latest report![]()
![]()
![]()
![]()
http://mobile.monitor.co.ug/Business/Business/Govt-still-committed-to-regional-railway---official/2471018-3211106-format-xhtml-117swu4/index.html
https://www.the-star.co.ke/news/2017/03/16/rwanda-lauds-kenyas-sgr-progress-cuts-a-sh124bn-deal-with-china-for_c1525627
endelea kutoa povu mount kilimanjaro inalindwa na wanajeshi zaidi ya 400 24/7Na bado
sio kulala mumeishiwa mbinu za maendeleo na resources hamuna tena zaidi mulikua munategemea sana tourism sasa mushabwagwa chini na tanzania kwenye sector hio2o years kenya itakua imelala sio? 😀😀😀
hamuiwezi tanzania kwa namna yoyote na ndio maana hata oil pipeline from uganda tumechukua kwa akili sio kwa porojo😀😀😀😀😀
tuliabro link yako haifunguki au link ya magumashi pia😀
Oil pipeline ilikua kwasababu ya Alshabaab....Lamu wako karibu sana na Somalia...reli msahau ndugu....yaani toka Kenya mpaka Congo, Rwanda, South Sudan, Ethiopia, Uganda na Burundihamuiwezi tanzania kwa namna yoyote na ndio maana hata oil pipeline from uganda tumechukua kwa akili sio kwa porojo😀😀😀😀😀
it means new mombasa nairobi sindio mumeanza kupeleka mzigo sasa so sio ajabu sana 😀😀😀
Pwahahahaha Pinnacle, Montave, doubl dckr highway, Light rail SGr Lamu Port LAPSETT....naona tumeishiwa kweli bro😀😀😀😀😛😛😛sio kulala mumeishiwa mbinu za maendeleo na resources hamuna tena zaidi mulikua munategemea sana tourism sasa mushabwagwa chini na tanzania kwenye sector hio
eti alshabab yakwenu mpaka sasa hvi mumekosa funds za kujenga pipeline badala yake munasomba crude oil na magari😀😀😀😀😀Oil pipeline ilikua kwasababu ya Alshabaab....Lamu wako karibu sana na Somalia...reli msahau ndugu....yaani toka Kenya mpaka Congo, Rwanda, South Sudan, Ethiopia, Uganda na Burundi
yenu iko wapi😛😛😛it means new mombasa nairobi sindio mumeanza kupeleka mzigo sasa so sio ajabu sana 😀😀😀
wow renders i love renders bro😀😀😀😀😀Pwahahahaha Pinnacle, Montave, doubl dckr highway, Light rail SGr Lamu Port LAPSETT....naona tumeishiwa kweli bro😀😀😀😀😛😛😛
remb tunajenga two phase kwa mpigo 3.16b from dar to dodoma 722 km😀😀😀😀😀yenu iko wapi😛😛😛
Yani Rwanda waache speed 160 wachukue 120[emoji23][emoji23] train inaondoka Leo inafika mwez ujao.. Ya mizigo achukue speed 80 aache 120[emoji23][emoji23] out of your mindMuseveni amekua Kenya jana wakazungumzia SGR wwe hapo ukiwa unakazana na maisha ya Tandale![]()
![]()
Rwanda nao walisema kuwa watatumia corridor zote mbili![]()
![]()
pole bro ur SGr is a whit lphant![]()
pol sana bro😀😀😀eti alshabab yakwenu mpaka sasa hvi mumekosa funds za kujenga pipeline badala yake munasomba crude oil na magari😀😀😀😀😀
Pwahahaha picha zikwapi bro😀😀😀😀si ni wale waturuki wanatafta routs msituni au?😀😀remb tunajenga two phase kwa mpigo 3.16b from dar to dodoma 722 km😀😀😀😀😀
where is pipeline bro mpaka sasa hvi tunavoongea munasomba crude oil using trucks pesa ya kujenga pipeline bado hamuna na huyo tullow mguu ndani mguu nje😀😀😀😀