KichwaNgumu254
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 1,284
- 1,154
Jamaa wewenaye. Kwahiyo Kenya wanakiwanda cha kutengeneza Isuzu siyo?
Jamaa wewenaye. Kwahiyo Kenya wanakiwanda cha kutengeneza Isuzu siyo?
Vijana kwa hapa mmejitahidi..Kiroho safi.. The Place is niceNaivasha....not yet done!
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Natembea Tz very soon specifically Dar es salaam with my Nikon D3300 Camera na nitakuwa hapa JF kila siku posting the good and the bad. Kaka omba sana zile picha unapost hapa si za kuchagua coz will be there for 17days...🙂seriously muna roho mbaya na wivu sana 😀😀
Huwez kuimaliza Dar kwa siku 17 never ever .. Mi nna miaka 20 na kitu lakini kuna maeneo nayaskia kwenye taarifa ya habari tuNatembea Tz very soon specifically Dar es salaam with my Nikon D3300 Camera na nitakuwa hapa JF kila siku posting the good and the bad. Kaka omba sana zile picha unapost hapa si za kuchagua coz will be there for 17days...🙂
Huyo dogo bodaboda yake itapiga dili sana kashatumia fursa safi sanaajokes kodogo:
wallah i'm done with kenyans.after beating them hands down in music industry,they went far to create their own fake diamond platnumz guy in order to compete with the original diamond in tanzania.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
![]()
![]()
![]()
Vijana kwa hapa mmejitahidi..Kiroho safi.. The Place is nice
Baada ya kuona hii picha ya chini nimechoka.Jamaa wewenaye. Kwahiyo Kenya wanakiwanda cha kutengeneza Isuzu siyo?
Poa poa kaka.. ShukraniKar
Karibu Naivasha bro, less than 1 hour from Nairobi. Nice weather,beautiful scenery and lots of happenings over the coming holidays
Uvivu mtupu kwani hamna gari Tena Nina kamera ya kuletea wenzangu hapa ushahidi tosha.Huwez kuimaliza Dar kwa siku 17 never ever .. Mi nna miaka 20 na kitu lakini kuna maeneo nayaskia kwenye taarifa ya habari tu
[emoji23][emoji23][emoji23] unafkir dar ni Nairobi?? Dar ni kama Kenya nzima... Waliamua kuipunguza ili baadhi ya maeneo yachukuliwe yawe mkoa mwingine lakini badoo..Uvivu mtupu kwani hamna gari Tena Nina kamera ya kuletea wenzangu hapa ushahidi tosha.
Kaka kindly watch the video Ive just posted.. Then conclude mwenyewe..English Country Style Hotels within Nairobi CBD and precincts
Fairmont Norfolk Hotel-Nairobi
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Rudi Shule babaa![emoji23][emoji23][emoji23] unafkir dar ni Nairobi?? Dar ni kama Kenya nzima... Waliamua kuipunguza ili baadhi ya maeneo yachukuliwe yawe mkoa mwingine lakini badoo..