Tonny MTZ
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 459
- 709
Mi staki nikuchoshe.. Njoo mwenyewe ushuhudie.. Then utasema maeneo gani uliotembelea alafu ntakwambia mengi mangapi ulioachaRudi Shule babaa!
Mi staki nikuchoshe.. Njoo mwenyewe ushuhudie.. Then utasema maeneo gani uliotembelea alafu ntakwambia mengi mangapi ulioachaRudi Shule babaa!
Mbagala na manzenseMi staki nikuchoshe.. Njoo mwenyewe ushuhudie.. Then utasema maeneo gani uliotembelea alafu ntakwambia mengi mangapi ulioacha
unafkir dar ni Nairobi?? Dar ni kama Kenya nzima... Waliamua kuipunguza ili baadhi ya maeneo yachukuliwe yawe mkoa mwingine lakini badoo..
Kwani uongooo.. Kibaha kisarawe hapajakatwa kua mkoa Wa pwani?hahaha...acha kujiaibisha
New York city has a smaller area in square kilometres than Dar. Does that mean that Dar is developed or better than New York? Development of a city is not measured by the area it covers in aquare kilometres. Tumia akili saa zingine
ubaya mnafikiri airport za Kenya ni kama hizi vibanda vyenu vya kufugia kuku...kuna direct flights to Turkey from Mombasa using Turkish airlinesChris brown alikuja Mombasa kwa shirika lipi la ndege? Can u mention?
Hao watalii huondokea Nairobi man, don't expose your Ignorance !
Kwani uongooo.. Kibaha kisarawe hapajakatwa kua mkoa Wa pwani?
achana na huyo mshamba...ana stress za kule ManzeseRudi Shule babaa!
unafkir dar ni Nairobi?? Dar ni kama Kenya nzima... Waliamua kuipunguza ili baadhi ya maeneo yachukuliwe yawe mkoa mwingine lakini badoo..
ubaya mnafikiri airport za Kenya ni kama hizi vibanda vyenu vya kufugia kuku...kuna direct flights to Turkey from Mombasa using Turkish airlines View attachment 656040
View attachment 656040![]()
![]()
![]()
LDC bila njaa, bila umasikini wa kutupwa, bila ukosefu wa ajira, bila rushwa, bila insecurity na bila tribalism.![]()
basi mbona nyie bado nchi maskini wa kutupwa na nchi LDC?![]()
LDC kwasabab hatukutumia our resources to the maximum, plus corruption na mengine mengi.. Nahisi kwenye top 5 corrupt country sisi tulikuepo.. But kwa Magufuliiiii bro kaa pembeni.. Ni moto Wa kuotea mbali.. Sasahv tutaanza kuchimba mafuta Na reserve ya mafuta kwetu ni nyingi sana.. Kuna Tanganyika, Rukwa na Eyasi ambapo Makampuni yamekua invited kuja kufanya utafiti na tayari yanaendelea.. Kuna gesi ambayo kwa sasa inauzwa nje, inazalisha umeme nakadhalika.. Kuna hydrogen ambayo imegundulika ambapo the world is in shortage of hydrogen kwa sasa so soon wakimaliza utafiti tutaanza uchimbaji.. Unafkiri Kwann Magufuli ameamua kuinua mirad mikubwa itakayogharim matrilioni ya shilingi?![]()
basi mbona nyie bado nchi maskini wa kutupwa na nchi LDC?![]()
I mean heliumLDC kwasabab hatukutumia our resources to the maximum, plus corruption na mengine mengi.. Nahisi kwenye top 5 corrupt country sisi tulikuepo.. But kwa Magufuliiiii bro kaa pembeni.. Ni moto Wa kuotea mbali.. Sasahv tutaanza kuchimba mafuta Na reserve ya mafuta kwetu ni nyingi sana.. Kuna Tanganyika, Rukwa na Eyasi ambapo Makampuni yamekua invited kuja kufanya utafiti na tayari yanaendelea.. Kuna gesi ambayo kwa sasa inauzwa nje, inazalisha umeme nakadhalika.. Kuna hydrogen ambayo imegundulika ambapo the world is in shortage of hydrogen kwa sasa so soon wakimaliza utafiti tutaanza uchimbaji.. Unafkiri Kwann Magufuli ameamua kuinua mirad mikubwa itakayogharim matrilioni ya shilingi?
Ndugu zangu wakenya 2025 tutakua far far away.. Na hatutatoa kibali cha uraia so this is your chance.. Be the citizen of TanzaAmerica
![]()
![]()
NaonA idiot umefikaa haya sasa mda wa mapovu nowNchi ya Viwonder....Before you get there,Rwanda and Burundi will have overtaken you,....Sleepy as always.