Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Najua ni wivu tu lakini utakaa sawa[emoji23] trillion 7 sio ndg.. Na hayo ni makadirio ya chini wakishamalza final research ndio tutapata majib kamili.. Tumeamua kutumia Rasilimali to the maximum
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
niskie wivu kwa nchi ilio nyuma yetu? mimi naskia wivu kwa South Afrika na Morocco tu
emoji23.png
emoji23.png
pole bro
 
SGR yenu imefika Congo?
emoji23.png
emoji23.png
punguza bangi wewe
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
kwanza hata hela za kujenga reli ya kisasa Congo haina....na kama itapata basi tarajia miaka kama 30 hivi kabla reli ifike Congo....kisha nikukumbushe, rli ya Kenya inaenda pia Congo Rwanda na Burundi...we will have to share
emoji23.png
emoji23.png

East-Africas-US14-Billion-Standard-Gauge-Railway-in-red-Kenya-Railways-Corporation.jpg
EA-Rail.jpg
hio itakua akili ya mwendawazimu😀😀
 
But mbona wanazidi kuongeza maeneo na sasa zinapatikana kila county ya Kenya.. Kama kuongezeka kwa consumption ni Nini?[emoji23][emoji23][emoji23]
sasa wewe upo Manzese hapo unajua nini kinachoendlea Kenya? mimi ndio niko hapa na ninakuhakishia kuwa hizo karanga hamna anayezitumia...
 
asante kwa povu...China washaachilia hla za kufikisha reli Rwanda
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
nyie bado mnatafta routs kule msituni na kupambana na vumbi
emoji23.png
emoji23.png
kagame alishakataa museven alishakataa siku nyingi tu😀😀😀😀 bahati nzuri kagame na mseven wote wamewekwa na tanzania kama ulikua hujui
 
sasa wewe upo Manzese hapo unajua nini kinachoendlea Kenya? mimi ndio niko hapa na ninakuhakishia kuwa hizo karanga hamna anayezitumia...
Sema wewe ndio huzitumii.. Wafanyabiashara wenu wanapanga mstari huku kununua maboksi kwa maboksi kila siku AF unasema hazinunuliwi SMH[emoji23][emoji23]
 
kagame alishakataa museven alishakataa siku nyingi tu😀😀😀😀 bahati nzuri kagame na mseven wote wamewekwa na tanzania kama ulikua hujui
Museveni amekua Kenya jana wakazungumzia SGR wwe hapo ukiwa unakazana na maisha ya Tandale
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
Rwanda nao walisema kuwa watatumia corridor zote mbili
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
pole bro ur SGr is a whit lphant
 
Sema wewe ndio huzitumii.. Wafanyabiashara wenu wanapanga mstari huku kununua maboksi kwa maboksi kila siku AF unasema hazinunuliwi SMH[emoji23][emoji23]
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
tubadilishe topic bro....tuzungumzie mambo ya maana sio ujinga ambao hamna mkenya anatumia
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
 
Kuna time ndege flani iiland Kenya na trucks za UN za huko DRC na ati Hii ndege hakuna place ingine ingeland in East and Central Africa ispokua JKIA...unakumbuka kitu na hiyo?

Yea you are correct,it was a Russian made Antonov An-124-100 Ruslan in 2012. Flying UN/Red Cross Trucks/Relief to DRC

1341887-large.jpg



Antonov An-124-100 Ruslan · Polet Cargo Airlines (POT) · Nairobi - Jomo Kenyatta International (NBO / HKJK), Kenya · David Reeves - 11/04/2012


an-international-committee-of-the-red-cross-truck-is-loaded-onto-an-picture-id185829715
 
Back
Top Bottom