Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kweli Africa we have more mileage to catch up … ati minister mzima anaenda kufungua KFC ?… kwani hana Kazi important ya kufanya ? I truly hope my American friends don’t see this … shameful!..😞
Ona huyu anayechonga huko kwenu kuna Raisi wa upumbavu wa kufungua 44kva transformer?

View: https://x.com/_James041/status/1882366566890971609?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1882366566890971609%7Ctwgr%5E%7Ctwcon%5Es1_c10&ref_url=

View: https://x.com/WillieOeba/status/1882831941478862874?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1882831941478862874%7Ctwgr%5E%7Ctwcon%5Es1_c10&ref_url=
 
Hawa jamaa siwakubali kufanya nao mazoezi huku Inshu ya Congo ya moto. Wanafiki wakubwa waende kwa walamba viatu wao wa North tuone adjectives za kutosha.
Kutokuwa na military base yao Tanzania ni jambo ambalo linawasumbua akili hadi leo hii, hawataki kuamini kuwa nchi imekataa.
Imagine kuwa na military base kwenye nchi iliyopakana na nchi nane, nchi yenye bahari tena ya Indian Ocean, nchi yenye maziwa makubwa. 😂😂😂
 
Wapi Kisumu local airport?

View: https://x.com/Pithoni1/status/1889216081904226570

GjfUby9W4AANlix

GjfXptdWsAEtAj3

GjfXq-2XgAAqETa

Gje4IHZXwAEC8td

Gje4IHZWgAA9eCB

Gje4IHZXwAEC8td

Gje4IHbWcAAbg1L

GjXP0FTWQAAIuDR

GjfXsHcWIAEAnwO

CC: IamLee, mwathadan, nairobae n Teargass
 
I disagree. Maintenance kwa kiwanja ambao hai kuwa fully utilized is a waste of money.

Dodoma population iki zidi kuwa lazima wata Jenga nengine
kwani bro benjamin mkapa ina miaka mingap hvi sasa?? hebu piga hesabu tungejenga kiwanja cha 30k kipindi hicho hali ingekuaje ??

santiago bernabeu stadium nchini spain ilijengwa 1947 na wakuja kufanya huge renovation last year 2024 kama sijakosea, tena sio kujenga upya kufanya renovation tu na sasa ndio uwanja wa kisasa kuwahi kutokea so far chini ya jua

shida yetu sisi tunakurupuka sana na mbaya zaidi mpaka kwenye miradi muhimu bado watu wanataka kupiga pesa humo humo
 
45,000k pia ingekuwa sawa ila ingekuwa extravagant pia, sili hizi na utandawazi watu wa kwenda uwanjani wanaoingia, angalia trend ya watumiaji viwanja baada ya olympic Athens mwaka 2000, viwanja vikubwa vimebaki mzigo tu kwa nchi, ndo maana Qatar akavunja viwanja vingi baada ya kombe la dunia.

Hata the bird's nest wa Beijing ingawa wachina wanafosi ila bado ni loss making stadium....basi tu.

Sisi bora tunajenga kiwanja chenye uwezo ambao tunaumudu. Kiwanja at least unaweza kukijaza kila mwezi. Sio kama lupaso sasa hivi.
ww unasema hvo kaka tanzania tunapenda mpira sana na tunaona siku hzi improvements za watu kwenda uwanjani haya tuichukulie tanzania ya 20yrs to come populatuion itakuaje???
 
kwani bro benjamin mkapa ina miaka mingap hvi sasa?? hebu piga hesabu tungejenga kiwanja cha 30k kipindi hicho hali ingekuaje ??

santiago bernabeu stadium nchini spain ilijengwa 1947 na wakuja kufanya huge renovation last year 2024 kama sijakosea, tena sio kujenga upya kufanya renovation tu na sasa ndio uwanja wa kisasa kuwahi kutokea so far chini ya jua

shida yetu sisi tunakurupuka sana na mbaya zaidi mpaka kwenye miradi muhimu bado watu wanataka kupiga pesa humo humo
Usilazimishe vitu mzee huo uwanja unaoenda kujengwa lazma utakuwa na provisions za kuupanua huko mbeleni kama ilivyo nchi zilizoendelea! For now huu unaojengwa kwa sasa unatosha kumbuka unaambatana na viwanja changamani vya concerts, makumbusho, zoo na zaidi (recreation centers)! Santiago Bernabeu wanaongeza sitting capacity toka 81,000 to 85,000! Kumbuka ulishawahi ku-host 125,000 huko nyuma mwaka 1955!

View: https://youtu.be/_cFedI-NJJ0?si=wObhjMOmkvKb8t8c

usilazimishe vitu mzee huo uwanja unaoenda kujengwa lazma utakuwa na provisions za kuupanua huko mbeleni kama ilivyo nchi zilizoendelea! Huu unaojengwa kwa sasa unatosha! Santiago Bernabeu wanaongeza sitting capacity toka 81,000 to 85,000! Kumbuka ulishawahi ku-host 125,000 huko nyuma mwaka 1955!

View: https://youtu.be/_cFedI-NJJ0?si=wObhjMOmkvKb8t8c

mm naona ww kiswahili kigumu kwako 😂

hebu rudia tena maongezi yangu kabla hujanijibu mzee
 
mm naona ww kiswahili kigumu kwako 😂

hebu rudia tena maongezi yangu kabla hujanijibu mzee
wewe unataka uwanja mkubwa na unaambiwa ni gharama kuutunza na Dodoma city yenye wakazi chini ya milioni kwa sasa haiuhitaji, bado unabisha na nimekuambia uwanja unaweza kupanuliwa mahitaji yakijitokeza huko mbeleni kumbuka hata Mkapa ilipokuwa inajengwa tayari Dar ilikuwa na wakazi zaidi ya 2.5 mln! Na nimekupa mfano wa huo uwanja wa Santiago Bernabeu ulioutaja! Kwamba ushawahi kuwa na uwezo wa kubeba watu 125,000 huko nyuma kabla ya kupunguza kuja 80,000 na sasa utapanda kuwa watu 85,000! Huelewi nn?
 
Kwani huyo hapo ni nani kama sio Ruto
20250212_121234~2.jpg
Kweli Africa we have more mileage to catch up … ati minister mzima anaenda kufungua KFC ?… kwani hana Kazi important ya kufanya ? I truly hope my American friends don’t see this … shameful!..😞

So much for presenting a random guy’s x post as credible evidence 😂
 
Kutokuwa na military base yao Tanzania ni jambo ambalo linawasumbua akili hadi leo hii, hawataki kuamini kuwa nchi imekataa.
Imagine kuwa na military base kwenye nchi iliyopakana na nchi nane, nchi yenye bahari tena ya Indian Ocean, nchi yenye maziwa makubwa. 😂😂😂
Kunyani yupo fasta kwa ndio ikitoka kwa mzungu maana wanamhusudu.

Iko hivyo kwetu kukataa kwa sababu Nchi ina identity toka inaanza.

Kuruhusu makambi hakuendani na fikra za uanzilishi wa nchi HURU, AMANI, INAYOJITEGEMEA, UMOJA, MAPINDUZI na UKOMBOZI yaani umpige kaburu kila sehemu na mzungu.kila sehemu ya Africa kuwapa watu freedom alafu uje wewe umpe influence ya kijeshi nchini kwako. Na jamaa anachokochoko nyingi za kutishia Amani.

The best 007 alisema nchi hadi mnuka Gundi anataka kuwa Raisi hamna nchi hapo.
 
Back
Top Bottom