Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kweli Africa we have more mileage to catch up … ati minister mzima anaenda kufungua KFC ?… kwani hana Kazi important ya kufanya ? I truly hope my American friends don’t see this … shameful!..😞

For once i agree with you 🙂

Unless he has other business there, other than just opening a fast food restaurant he should not be there.
 
While Ruto anakodi ndege Dubai kila siku at exorbitant prices! Unaweza ukakuta ni yake!
Ila uliona backlash iliyofikia international media. Alikashifiwa sana mpaka akaogopa kutoka nje ya nchi for 2 and a half months, ingekuwa tanzania angeshangiliwa kuenda ku visit rais wa US na ndege hatari!!
Alafu everyday, really?
 
Badala uhoji kwanini hao police wenu wanashindwa kupambana na bandits na hali ya usalama nchini kwenu uko hapa kuulizia polisi wa Tanzania.
Nimeona pia kuna sehemu contractors wanaojenga hapo ukunyani wanavaa bulletproof vests badala ya reflectors.😂😂😂

View: https://x.com/ohezby/status/1888527819019288594?s=46

Yani badala tu ya kujibu kuwa hakuna kundi spesheli yoyote ya polisi na polisi wenu hawajawahi kusikia kuhusu mashindano ya UAE SWAT challenge 😂
 
kama kweli tunania dodoma ndio capital city basi bado haitoshi atleast tungevuta mpaka 45,000 kwa kuanzia, dodoma inakuja kwa kasi sana imagine serekali yote ihamie huko, balozi zote zihamie huko, mashirika ya kiserekali na yasio ya kiserekali yahamie huko etc na ukumbuke wote wanakwenda na familia zao unafkiri patakuaje? bado wafanya biashara, bado wasafiri bado wakazi ambao lazma population yao itakwenda juu sana, hatupaswi kufkiria kesho tunapaswa kufikiria 20yrs to come ili tusiingie hasara za kuja kujenga uwanja mwengine tena
45,000k pia ingekuwa sawa ila ingekuwa extravagant pia, sili hizi na utandawazi watu wa kwenda uwanjani wanaoingia, angalia trend ya watumiaji viwanja baada ya olympic Athens mwaka 2000, viwanja vikubwa vimebaki mzigo tu kwa nchi, ndo maana Qatar akavunja viwanja vingi baada ya kombe la dunia.

Hata the bird's nest wa Beijing ingawa wachina wanafosi ila bado ni loss making stadium....basi tu.

Sisi bora tunajenga kiwanja chenye uwezo ambao tunaumudu. Kiwanja at least unaweza kukijaza kila mwezi. Sio kama lupaso sasa hivi.
 
In Tanzania i was surprised that everyone accepted my Kenya shilling notes.
Usijali, soon utaanza kulia. Ngoja ufike muda ambao utatoa sabubu ya kusema hiyo pesa umetoa wapi kabla ya kichange. Utakuja humu kulia lia. Sheria inapikwa....soon tu
 
Anaeonekana kwenye picha sio Raisi wenu.? Na je hizo hapo juu ya gari sio Nguzo nne za umeme.? Wewe mbona ni zezeta.? 🤣🤣🤣
But that’s for a whole electrification project … it makes sense … Lakini KFC maneno Bwana …jibu hiyo kwanza..sometimes it’s ok to accept when something is ridiculous … and move on …don’t dwell on pettiness..
 
Vi dustbin vinapendeza kiukweli, saivi posta imenyooka sana very clean, pavements zimenyooka kila kona ya mtaa+ greenery, miti imezunguka barabara, No city in EA can relate. saivi itabidi tuagize vumbi kutoka Naipori. 🤣🤣🤣.
Sema wapo slow sana hako kamradi tangu mwakajuzi,kitu kinachonikera sana,ukipita iyo mitaa utakuta magari ya serikali yamepaki kwenye pavements
 
Back
Top Bottom