RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,872
- 129,873
Hakafu mwanza kwa domestic flight iko juumwanza passenger terminal building iliishia wapi naona tender alipewa rostam aziz 😂
Hakafu mwanza kwa domestic flight iko juumwanza passenger terminal building iliishia wapi naona tender alipewa rostam aziz 😂
Arusha is far better.Wewe huogopi hiyo skyline ya Mombasa? Mombasa ishaanza kuacha Dar pole pole kwa development especially on skyline.
nadhani ipo U/C na hii trip naibu Waziri atapita huko! Ila kwa maoni yangu uwekaji wa taa runway Arusha ungefanywa hata kabla ya wa Iringa kwa vile tourism peak season uwanja wa Arusha unakuwa busy sana ila sina uhakika kama wa Iringa utakuwa busy hivyo! Natamani by summer kuwe na taa runway ya uwanja wa ndege wa Arusha kuruhusu night flights!mwanza passenger terminal building iliishia wapi naona tender alipewa rostam aziz 😂
Arusha ni size ya Bungoma.Arusha is far better.
Ukiwa upende usipende ukweli utabaki palepale Arusha ni bora kuliko Mombasa.Arusha ni size ya Bungoma.
DRC ni level nyingine ati!
Acquired Boeing 737-900ER BBJ3 in 2023 👇🏿
View: https://youtu.be/bSOSyJxU5qY?si=D5zpNFNqapJNHTEI
MY TAKE
Sasa unakuwa na nchi imepata President mwenye degree kipindi cha Kibaki? Unawezaje kufananisha na jirani zake?
Ukweli upo wapi? Tell us one thing Arusha inashindia Mombasa and please attach an evidence to your claim. Nimekaa pale Nangoja.Ukiwa upende usipende ukweli utabaki palepale Arusha ni bora kuliko Mombasa.
labda wakifika pale wanazamia wanaibukia upande wa pili hukoHilo daraja mbona linaishia katikati ya bahari?😁
Duh, hatari😁labda wakifika pale wanazamia wanaibukia upande wa pili huko
Arusha is the world Safari capitalUkweli upo wapi? Tell us one thing Arusha inashindia Mombasa and please attach an evidence to your claim. Nimekaa pale Nangoja.
While Ruto anakodi ndege Dubai kila siku at exorbitant prices! Unaweza ukakuta ni yake!Despite that hatujafika, sometimes posts like this make me appreciate the Kenyan perspective of things because I don’t know which Kenyan will celebrate such immoral display of lavish life by the ruling class despite the poverty of the common citizen
The last time I checked Arusha had one 5* Hotel against Mombasa’s 3.Arusha has bigger number of Five star hotels than Mombasa
Ebu tuonyeshe hiyo Stadium ya Arusha tuone, ama hile unfinished Quarry ndio unaita stadium?Arusha has the modern football stadium
Eti Estates? You must be high on opium. Arusha can’t even rival Nyali alone in terms of estates.Arusha has better estates compared to Mombasa
Hile Mabati Rolling Mill ndio unaita beautiful? Did the word beautiful changed its name?Arusha has the most beautiful airport
When you say individual development what do you mean? Don’t just throw outs words that you don’t understand. Value Dongo Kundu alone is bigger than Arusha GDP.Individual development is huge in Arusha compared to mombasa
Arusha GDP can’t even be compared to Kisii.Arusha CBD is more attractive than mombasa here is mombasa CBD