Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 26,971
- 27,967
Ila kwa ground wote wanaelewa ni nchi gani wananchi wake wana ahueni ya maisha wala huhitaji IMF, social media tu inakurahishia kazi 😅😅
View: https://vm.tiktok.com/ZMkgUeydR/
View: https://vm.tiktok.com/ZMkgDT5X3/
So Tanzania is the only country with weddings? Wewe Nenda ukaangaliwe akili.
Harusi pia ni kitu ya kuringia mtu?😂😂😂