Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,234
- 33,453
Jeshi lenu dhaifu linauliwa kule Congo, una lipi la kusema?Kipofu kaona mwezi. Ha ha ha wewe kweli ni nyang'au😎
Jeshi lenu dhaifu linauliwa kule Congo, una lipi la kusema?Kipofu kaona mwezi. Ha ha ha wewe kweli ni nyang'au😎
Kwaiyo watalii wanaopiga picha uchi huko Zanzibar kwaiyo napo wazuie kupiga picha 🤔Kuna mpuuzi alipiga picha za nusu utupu hapo nadhani ndio ikasababisha kuwekwa katazo hilo.
Kusiwe na urasimu tu kupata hicho kibali.
Kundustan Kwa wivu tataswma ni cheap Chinese boxes 🤣🤣👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DFW1tyzIrLn/?igsh=MTJoMWVhYTBieTlrbA==
hahaha halafu unajitutumua humu kumbe ni lab techYule mke wako ulipachika mimba akiwa class 4 unapanga kumrudisha shule lini? Huezikuwa unaongelea mambo ya University yet both of you hamjaikanyaga huko.
Vipi jeshi la Kenya kule kwa al-Shabaab, au unajifanya huoni?😎Jeshi lenu dhaifu linauliwa kule Congo, una lipi la kusema?
Kwaiyo watalii wanaopiga picha uchi huko Zanzibar kwaiyo napo wazuie kupiga picha 🤔
tuendelee kusifia kaka 😂😂😂Hiv nchi hii ni kwamba tunaongozwa na washamba? Au shida ni nini haswa?
Yaani tunafight city Centre yote ya Dar iwe touristic bado kuna watu washamba kwenye serikali wanaweka matangazo kama haya?
Daraja la Tanzanite ni moja ya vivutio vikubwa vinavyovutia watu wengi sana Dar, wakongo, waganda, wakenya etc wakiwemo wayoutubers/tiktokers, Daraja hili ni moja ya vivutio vikubwa kwao. Ni sababu ipi haswa ya kuzuia watu kupiga picha au kufanya photoshoots?
Utaratibu huu uko pia stendi ya mwenge ni 10k kupiga picha pale, National museum hawaruhusu kuchukua video had $100 ili upate kibali nk nk.
Mambo kama haya yanaharibu utalii badala ya kukuza utalii. Ni aibu kuwa na maamuzi kama hayaView attachment 3221804
nioneshe ww nje ya pic za VIP kuna viti sasa hvi nasubiria 😂😂😂😂Sikujua Kasarani yote ni sehemu ya VIP. Ebu tuonyeshe sehemu watu wanakalia zenye tuone.
As if anyone cares about you bongolala. Vitu mnazojiaminisha huko jamiiforums...8/10 Kenyans can't afford a daily basic meal, studies say.
However majority try hard to pretend & fake life just to deceive Tanzanians that they have better life.
Learn from KDF, sio kuuliwa tu kiraisi kama mende.Vipi jeshi la Kenya kule kwa al-Shabaab, au unajifanya huoni?😎
Rudisha mke shule amalize shule ya msingi, while doing so don’t forget about yourself.hahaha halafu unajitutumua humu kumbe ni lab tech