Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobae. Those from Dar is slum with three towers can’t relate.
1738493954797.jpeg
 
Chuki zinakusumbua wakati uzembe wenu imesababisha CHAN kusogezwa mbele,lazy wakubwa nyie Kundustan hakuna mnachoweza zaidi kusubiria mbeleko.
That should tell you how powerful Kenya is. Na hiyo August pia ikifika before tumalize Kasarani Stadium the tournament will be postponed again.

Ingekuwa ni Tanzania that is not ready ungedhani Kama the tournament ingechezwa tu bila kuwangoja.
 
Uzembe ndio kuwa powerful? Mumejaza funza kichwani
 
Nielewavyo Mimi juu ya hili katazo la kupiga picha na video ni kwa wale wanaokuja kufanya video shooting kama harusi,music nk na picha za aina hizo ambazo zinapelekea kusababisha jam barabarani.

Ila kwa picha za kawaida mtu yeyote anaweza kupiga na kusepa bila tatizo lolote.

But, I stand to be corrected.
Sasa mtu atafungaje barabara bila kuwa na kibali.
Wanatengeneza mianya ya Rushwa.
 
Back
Top Bottom