Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣🤣🤣🤣🤣Hivi ni vituko wewe mbwa
Vituko ni hizi hapa
images (73).jpeg
 

Hawa wajinga mbona wamepigwa? Ukiangalia uwanja wa Arusha ni mkubwa na mzuri wenye upekee tofauti na huu wao umekaa ki Africa zaidi, sijajua kwann waafrica tunapenda hii design ya Amahoro. Viwanja vingi vya Africa vinafanana, hakuna ubunifu kabisa. Pia huu uwanja ni mdogo kuliko wa Arusha lkn unajengwa kwa cost kubwa kuliko wa Arusha, wamepigwa au labda waanze visababu vya ardhi, milima sijui nn nn mradi kuhalalisha upigaji.
 
Hiv nchi hii ni kwamba tunaongozwa na washamba? Au shida ni nini haswa?

Yaani tunafight city Centre yote ya Dar iwe touristic bado kuna watu washamba kwenye serikali wanaweka matangazo kama haya?

Daraja la Tanzanite ni moja ya vivutio vikubwa vinavyovutia watu wengi sana Dar, wakongo, waganda, wakenya etc wakiwemo wayoutubers/tiktokers, Daraja hili ni moja ya vivutio vikubwa kwao. Ni sababu ipi haswa ya kuzuia watu kupiga picha au kufanya photoshoots?
Utaratibu huu uko pia stendi ya mwenge ni 10k kupiga picha pale, National museum hawaruhusu kuchukua video had $100 ili upate kibali nk nk.
Mambo kama haya yanaharibu utalii badala ya kukuza utalii. Ni aibu kuwa na maamuzi kama hayaView attachment 3221804
Nielewavyo Mimi juu ya hili katazo la kupiga picha na video ni kwa wale wanaokuja kufanya video shooting kama harusi,music nk na picha za aina hizo ambazo zinapelekea kusababisha jam barabarani.

Ila kwa picha za kawaida mtu yeyote anaweza kupiga na kusepa bila tatizo lolote.

But, I stand to be corrected.
 
We jamaa simu yako haijawahi kuwa na chaji, kwnn? We utakuwa mnusa gundi tu wallahi tena 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
That's from the internet kijana wa Tandale. Unaona Makwapa ilivyozingirwa na uswazi aka dream houses?
 
English ya wakenya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
hii unayotuonesha ni sehemu ya VIP ndio kuna viti nakuuliza huko kwengine watu watakalia zege, naomba unijibu bila hasira plz 😂😂😂
Sikujua Kasarani yote ni sehemu ya VIP. Ebu tuonyeshe sehemu watu wanakalia zenye tuone.
 
Back
Top Bottom