Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

KDF is your superior, msiwahi jaribu kulinganisha KDF with your weak army.

Learn from KDF, sio kuuliwa tu kiraisi kama mende.

View: https://youtu.be/-FOEZIkF7U8?si=sPYQQLi8GORzwZiq

Loss of life is sad and nothing to laugh about weather Kenyan or Tanzanian. These people have families, friends etc...

However lets not pretend KDF which cannot handle a bunch of terrorist in flip flops and pickup trucks is a superior force.

Kenyan soldiers killed in Somalia: The shroud of secrecy​

Three Kenyan Soldiers Killed in Suspected Al-Shabab Attack​

Witnesses say dozens killed in al-Shabaab attack on Kenyan troops​

CS Aden Duale: We redesigned State House because our peers like Tanzania have a new State House​

View: https://www.youtube.com/watch?v=0S8UGQwbj58

Tanzania constantly on heir minds LOL!

Hawa wanusa gundi wa humu wanakuambia state house haina maana kumbe kimoyomoyo wanaumizwa na state house za Tanzania, alafu siku hz wabunge wao wala hawatafuni maneno wanawaambia ukweli kwamba waende Tz wakajifunze, yn CS woootee reference yao ni Tz tu wala sio Singapore au SA🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Siku hizi utawaona wakijifananisha na Tanzania kwenye hivi vitu.
Kwenye mpira ni Tanzania
Kwenye uchumi ni Tanzania
Kwenye miundombinu ni Tanzania
Kwenye ikulu ni Tanzania
Taifa lao ni kama geto, halina dira yoyote. 😂😂😂
 
Na inapofika suala la reli ndiyo kabisaa wanataka kuchinjana, sisi watanzania huwa tunaona jamaa kama wakorofi na wenye vurugu lkn ukweli ni kwamba vurugu zao zotee ni kwasababu ya maendeleo makubwa yanayofanyika Tanzania. Bro, sio mchezo, yn watu tuna bullet train, tuna bwawa kubwa la umeme, tuna brt, tuna mji mpya tunaoujenga sisi wenyewe, tunajenga barabara za viwango, airports kila mkoa, chakula tunajitosheleza, bomba la mafuta, ukija kwenye michezo hususan mpira ndiyo kabisaa tumewaacha mbali mnoo, ukija kwenye mziki ndiyo wateja wetu, kwnn wasiuane mana walijiaminisha wametuzidi, kuja ground mambo ni tofauti 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sasa hivi haipiti siku bila vyombo vyao vya kujadili maendeleo ya Tanzania.
Nchi ni siasa za kikabila tu na maandamo yasiyo na kichwa wala mkia. 😂😂😂
 
Kwenda huko malaya hii. I’ll quote you whether you like it or not and there’s nothing you will do.

I can allow anybody to try and threaten me but not a lazy and poor watchman like you.
Jamaa anaongea ni kama ana la maana lenye atakufanyia.😂😂
 
Back
Top Bottom