Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

unarudia same pic na hio ni sehemu moja ndio unapost nayo ni VIP nimekuuliza sehemi zingine hamueki viti??😂😂😂

jibu swali nililokuuliza kwanza maana hzo picha zote umepost ni sehemu moja au unabisha ??

ajabu kuna watu wamelike kabisa alaf kuna kondoo mmoja ame comment kabisa 😂😂😂
 
Hiv nchi hii ni kwamba tunaongozwa na washamba? Au shida ni nini haswa?

Yaani tunafight city Centre yote ya Dar iwe touristic bado kuna watu washamba kwenye serikali wanaweka matangazo kama haya?

Daraja la Tanzanite ni moja ya vivutio vikubwa vinavyovutia watu wengi sana Dar, wakongo, waganda, wakenya etc wakiwemo wayoutubers/tiktokers, Daraja hili ni moja ya vivutio vikubwa kwao. Ni sababu ipi haswa ya kuzuia watu kupiga picha au kufanya photoshoots?
Utaratibu huu uko pia stendi ya mwenge ni 10k kupiga picha pale, National museum hawaruhusu kuchukua video had $100 ili upate kibali nk nk.
Mambo kama haya yanaharibu utalii badala ya kukuza utalii. Ni aibu kuwa na maamuzi kama haya
20250202_044054.jpg
 
Naona folded seats wasenge nyinyi, mlikuwa mnakashifu viti vya mkapa kwamba sio folded now mmewekewa viti ambavyo kimsingi havina hata namba, yn tunaita fungulia mbwa, unaweza kulipia na ukajipata umesimama 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tuliza kende zako bawabu. Kasarani is still undergoing renovations so issue ya seat numbers isikutie wasiwasi. Si ni wewe ulikuwa ukisema we'll never install seats at Kasarani? Wimbo Sasa imebadilika tena? Msenge wewe!😂😂😂
 
unarudia same pic na hio ni sehemu moja ndio unapost nayo ni VIP nimekuuliza sehemi zingine hamueki viti??😂😂😂

jibu swali nililokuuliza kwanza maana hzo picha zote umepost ni sehemu moja au unabisha ??

ajabu kuna watu wamelike kabisa alaf kuna kondoo mmoja ame comment kabisa 😂😂😂
Yemen boy let me leave you in peace. Enjoy your cosmetic joy. I can't force to see when you are blinded by hate. There's a 99% chance that Kasarani will host opening and/or closing ceremonies for CHAN later this year
 
Hiv nchi hii ni kwamba tunaongozwa na washamba? Au shida ni nini haswa?

Yaani tunafight city Centre yote ya Dar iwe touristic bado kuna watu washamba kwenye serikali wanaweka matangazo kama haya?

Daraja la Tanzanite ni moja ya vivutio vikubwa vinavyovutia watu wengi sana Dar, wakongo, waganda, wakenya etc wakiwemo wayoutubers/tiktokers, Daraja hili ni moja ya vivutio vikubwa kwao. Ni sababu ipi haswa ya kuzuia watu kupiga picha au kufanya photoshoots?
Utaratibu huu uko pia stendi ya mwenge ni 10k kupiga picha pale, National museum hawaruhusu kuchukua video had $100 ili upate kibali nk nk.
Mambo kama haya yanaharibu utalii badala ya kukuza utalii. Ni aibu kuwa na maamuzi kama hayaView attachment 3221804

Kuna mpuuzi alipiga picha za nusu utupu hapo nadhani ndio ikasababisha kuwekwa katazo hilo.
Kusiwe na urasimu tu kupata hicho kibali.
 
Hizi ni hujuma kwenye maswala ya kiutali wa fukwe Kwa Tanganyika
 
Sasa mpumbavu na kichaa mmoja ndo anazuia watu wote wasipige picha?. Si akamatwe yeye. Kwan kila mtu anapiga picha uchi?
Tunahitaji kuwa na constructive positive energy sio kufanya maamuzi kwa mihemuko kutazama negativity tu.

Kwanza wanatengeneza mazingira ya Rushwa. Kuna kamera pale...mtu akifanya upumbavu si akamatwe yeye.

Yaani nchi yetu ambavyo haijuilikani huko duniani bado mnakataza watu kupiga picha infrastractures nzr za nchi? Au wanapenda watu wawe wanapiga picha mabaya tu?

We have to change na tuache ushamba...
 
Hizi ni hujuma kwenye maswala ya kiutali wa fukwe Kwa Tanganyika
Mambo mengine ni aibu kufanywa na wasomi. Wanadeal na mambo madogo yasio na maana

Halafu wategemee wakupata watalii million 5 kwa makatazo kama haya? Au watalii mpaka watembelee mbuga za wanyama na Zanzibar?
Niliwahi sema hapa, hii Dar tu wakiitengeneza vzr City Centre ikawa walkable, wakatengeneza restaurants zenye vyakula vya kiafrica kwenye hayo majengo chakavu ya posta. Ikulu ya Dar ikawa archive au museum, botanical gardens zikatenezea vzr, wakaondoa manyaya ya umeme, nk nk...Dar pekee inaweza pokea watalii hata 1million kwa mwaka. Miji kama Barcelona inapokea watalii million 30+ na hawana simba kule...

Sasa akili kama hiz vinchi kama Rwanda vitatupita mbali kwenye tourism.

Tunaweza kuifanya Dar city center kuwa hiv, viongozi wa jiji hili wakiacha ushamba na ujima. Hii ni city Centre ya Durban South
1738472018961.jpg
 
Mambo mengine ni aibu kufanywa na wasomi. Wanadeal na mambo madogo yasio na maana

Halafu wategemee wakupata watalii million 5 kwa makatazo kama haya? Au watalii mpaka watembelee mbuga za wanyama na Zanzibar?
Niliwahi sema hapa, hii Dar tu wakiitengeneza vzr City Centre ikawa walkable, wakatengeneza restaurants zenye vyakula vya kiafrica kwenye hayo majengo chakavu ya posta. Ikulu ya Dar ikawa archive au museum, botanical gardens zikatenezea vzr, wakaondoa manyaya ya umeme, nk nk...Dar pekee inaweza pokea watalii hata 1million kwa mwaka. Miji kama Barcelona inapokea watalii million 30+ na hawana simba kule...

Sasa akili kama hiz vinchi kama Rwanda vitatupita mbali kwenye tourism.

Tunaweza kuifanya Dar city center kuwa hiv, viongozi wa jiji hili wakiacha ushamba na ujima. Hii ni city Centre ya Durban SouthView attachment 3221835
Tatizo Kuna mabwiga wengi wamekalia ofisi wanafikiri utalii mpaka uende porini wakati Kuna utalii wa fukwe
 
Back
Top Bottom