Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 26,985
- 27,986
Kwani zile pesa tunawapea kila mwaka huwa tunatoa wapi? Ama umesahau Kenya usually gives Tanzania grants and donations?GOK itoe wapi pesa wakati mshafika limit ya kukopa maana wanapolitician wamekopa wamesepa na vibunda kama Eurobond