Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,709
Aisee unazungumzia assets.? 🤣🤣🤣 huo mjadala huwezi kutia mguu humo. Kaa mbali kabisa. Inawezekana mkatushinda kwa kuzalisha faida ila sio assets. 🤣🤣🤣Take the assets of all the top 20 companies in Tanzania alafu ulinganishe na ya Safaricom pekee, I assure you hazitakaribia hata kidogo.
View attachment 3213716
Ebu Leta assests za top 10 companies in Tanzania tulinganishe na only one company in Kenya. Please bring with evidence juu tunakujua na empty words.Aisee unazungumzia assets.? 🤣🤣🤣 huo mjadala huwezi kutia mguu humo. Kaa mbali kabisa. Inawezekana mkatushinda kwa kuzalisha faida ila sio assets. 🤣🤣🤣
Wakufanya illegal mining wanakamatwa na kuadhibiwaUlianza na kukana hakuna foreigner mweupe wanafanya illegal mining in bongoslum. Eeehhhh wachina mia moja walikamatwa, bado unapinga sio. 🤣 🤣 🤣 Nani alisema Kenya hakuna madini? Kwani unadhani Geography tumekua tukifunzwa nini since primary school?
Ebu nionyeshe hata moja mwenye amekamatwa na akadhibiwa.Wakufanya illegal mining wanakamatwa na kuadhibiwa
Kuwa mkenya ni laana
Kwani hao uliowaona hapo wamefanywa Nini?Ebu nionyeshe hata moja mwenye amekamatwa na akadhibiwa.
Makenya yamelaaniwaHii nchi is now properly fucked up 😂🤣😅
Hakuna.Kwani hao uliowaona hapo wamefanywa Nini?
Wamekamatwa Kisha kupigishwa magoti na afande wa wilaya ingekuwa Kenya hapo makenya yangekuwa yenyewe ndo yanapigwaBongolalas are the biggest hypocrites in Africa.
View: https://x.com/CapitalDigital_/status/1186686912632934403
Kupigishwa magoti ndio adhabu? Kwanza hao jamaa wanawadharau ndio maana mmoja anavuta sigara even after kupatwa na hatia.Wamekamatwa Kisha kupigishwa magoti na afande wa wilaya ingekuwa Kenya hapo makenya yangekuwa yenyewe ndo yanapigwa
Huyo hajatembea laiti angefika hapo Nairobi na kuona asilimia 90 ya wakazi wa Nairobi wanavoishi kwenye mabanda ya mabati sijui angesemaje😂😂😂😂😂😂
That's why we call it a glorified fishing village. Now see
View: https://x.com/HarryGodfirst/status/1849423893380935994?t=pBhl00Q11f0NN2CuL49dHQ&s=19
Baada ya hapo jera inawahusu sio kama Kenya mchekacheka tu na wachina kwakuwa wanamiliki miradi yote mikubwaKupigishwa magoti ndio adhabu? Kwanza hao jamaa wanawadharau ndio maana mmoja anavuta sigara even after kupatwa na hatia.
Hao waliwachwa hapo bila kufanyiwa chochote, Kama unapinga Ebu tuonyes picha yao wakiwa Hela ama hata kotini.Baada ya hapo jera inawahusu sio kama Kenya mchekacheka tu na wachina kwakuwa wanamiliki miradi yote mikubwa
Wakuuza mitumba Kariakoo wanashangiliwa.Wakufanya illegal mining wanakamatwa na kuadhibiwa
Umekuaje siku hizi ich unalaumu muda wote tena kwenye uzi wetu pendwa kama una vidonda vya kisiasa kuna jukwaa lake mahsusi nenda kule.maneno ya kisiasa tuko 2025 na tunajua ni muda wa uchaguzi hata tukiambiwa sasa hvi tunajenga nucleur plant tutaamini kwasababu ni 2025 😂😂😂😂
Mali ya mchina ndio hii. 👇👇Na ni mali ya mchina chenu hapo ni land tu
View: https://x.com/NationAfrica/status/1765302835229392935?t=_B-QjwAGBuMJvOkXy_3x5A&s=19