IamLee
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 7,670
- 10,116
Sielewi hio msemo nduguu what does kupenga kamasi kwa moshi wa koroboi mean..Wewe endelea kupenga kamasi kwa moshi wa koroboi na hilo treni lenu la makumbushoo.
Umeme ni anasa hapo kunyaland.
Sielewi hio msemo nduguu what does kupenga kamasi kwa moshi wa koroboi mean..Wewe endelea kupenga kamasi kwa moshi wa koroboi na hilo treni lenu la makumbushoo.
Umeme ni anasa hapo kunyaland.
So with your logic pia hii ni sabotage kutoka stakehigh. Natumai utakaa consistent na narrative yako na umkemee huyu jamaa kwa wivu wake , useme ni mjinga na anafanya sabotage.. iila ikiwa huoni hivo mwenzenu akifanya hivo basi ushajua wewe ndiye una shida ya kulalamika na ku play victim😅Tanzania ikifanya maendeleo yake,kunyan kwa wivu wao wanaona wanafanyiwa sabotage,kunyan wajinga sana
Huwa mnachukia data, ila kungekuwa na competition ya mitusi, tz ingekuwa top of the list.Labda Google ya mkundru wako.
So with your logic pia hii ni sabotage kutoka stakehigh. Natumai utakaa consistent na narrative yako na umkemee huyu jamaa kwa wivu wake , useme ni mjinga na anafanya sabotage.. iila ikiwa huoni hivo mwenzenu akifanya hivo basi ushajua wewe ndiye una shida ya kulalamika na ku play victim😅
View: https://x.com/atkinson_eng/status/2105204348502569144?s=46
Japokua wanatoka next match but we are glad wamegenerate alot of revenues from outside Uganda, and also they will get paid $50k from CAF not bad for a start as a stadium and a club
View: https://x.com/AlAhlyEnglish/status/2111077877537984554?s=20
Now mwaiofhawaii 🤣 🤣 🤣 which stadium is generating anything apo mathare 🤣🤣
sasa innahusiana vp na DEBT to GDP yenu 🤣🤣🤣 sisi na nyie nan hataki data 🤣🤣🤣Huwa mnachukia data, ila kungekuwa na competition ya mitusi, tz ingekuwa top of the list.
Ila mambo ya data nyie huwa mnazichukia sana juu hamjazoea ukweli halisi, mmezoeeshwa propaganda ya sisiemu
View attachment 3692327
Al alhy is the biggest club in afrika and 12th on earth, the spotlight uganda is giving cant go un noticed and ofcourse sisi hatuishi kwa ujinga kama wenu, mkipostiwa reality mnasema tuna chukiHii battle ni kati ya kenyan vs TZ..nashindwa mbona unaleta content za UG?ama kwenu mumeshindwa sai umeleta za uganda as back up?its like now KENYA VS TZ & UG na cha kushangaza tumewapiga knockout..ata ulete malawi
Show me the bookingsare you even aware our uhuru stadium & azam stadium is fully booked by international clubs 🤣🤣🤣🤣, same way to HOIMA they have enjoyed some dollars since last month 🤣🤣🤣 na wataendelea kula ela sana, vp kwenu uko 🤣🤣🤣
BTW hoima waongeze tu barabara that investment will pay BIG, nyie subirini mashindano yaishe muanze kulipa madeni
you have google, nenda uliza mechi za CAF za wiki hii tanzania alafu uliza away teams wamebook kutumia uwanja gan, also dont forget to check na hoima they are booked heavily, alafu utuletee na zenu 🤣🤣🤣🤣Show me the bookings