Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kila sehemu wanakula bomba πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

View: https://x.com/john_papss/status/1883014133689553381?s=46
Ndiyo mana hayaleti matokeo humu kumbe yanabakwa hata huku 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Yamebaki kuongelea talata jua kali stadium a.k.a Amahoro version 2 stadium, yn nchi nzima wanaongelea mradi mmoja ambao sio massive, yn mambo cc tushafanya miaka 20 iliyopita huko wanafanya leo 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Ebu nionyeshe uwanja wowote duniani yenye imejengwa msituni where there is no roads and electricity.

Anyway talking about roads, Ebu tuonyeshe barabara hapa

 
Wakenya washamba sn aisee, wanapenda decorations kuliko uhalisia, kila kitu wanakijaza sehemu moja hata visivyokuwa na maana ili kuongopea watu, mm nakuambia afcon itabadili kila kitu, na ndipo watakapojiona bado sanaaa kujilinganisha na nchi zenye watu wenye vision.
 
Aibu gani hizi. Yani nchi imetekwa nyara na warabu!?🀣🀣🀣🀣🀣

Ngozi nyeusi imebaki ikipiga kelele JF na kutaja Azam 24/7 mali ya mwarabu🀣🀣🀣
Undelea kuumia ukiwa kwenye hilo Banda lako la mabati hapo Githurai......🀣🀣
Warabu ni warabu. That’s why their have their country of origin. Tanzania ni kwa akina maskini kama wewe na watchman.

Hata ni vizuri umewaita warabu, case closed.
Country of origin.....kawaulize hao wote kwao wapi watakwambia

Mo kwao Singida
Rostam kwao Igunga
Fida Hussein kwao lindi / mtwara
Abood kwao morogoro
Hao mabaniani kwao ni Bagamoyo
Bakhresa sio mwarabu ni mswahili...kwao Zanzibar

Endelea kuteseka tu mzee........
 
So Singida, Igunga, Mtwara, Bagamoyo, Morogoro na Zanzibar ni kwa warabu? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Rostam is Iranian
Mo Dweji is Indian
Fija Hussein is Indian
Abood is Oman
Bakhresa is Oman
 
Hapa hakuna barabara hata ukizoom aje


Alafu anakuambia ati tu ajenga uwanja CBD, sikujua Ng’ong roar ni CBD. Yani Nairobi kila corner imejengeka hadi wanaconfusena CBDπŸ˜‚πŸ˜‚
View attachment 3213310
Kama yetu iko CBD kumbe hata hii yao pia iko cbd
Your browser is not able to display this video.
 
Mchina anamiliki mtambo wenu wa piwa, expressway, Talanta, 80% of all high rise buildings hapo Kunyaland na deni almost lote la serikali πŸ€£πŸ˜‚
Ukona hasira ju hao wachina hua munalamba wana wekeza multi billions in Kenya than in Bongoslum. 🀣 🀣 🀣
 
Hapa hakuna barabara hata ukizoom aje


Alafu anakuambia ati tu ajenga uwanja CBD, sikujua Ng’ong roar ni CBD. Yani Nairobi kila corner imejengeka hadi wanaconfusena CBDπŸ˜‚πŸ˜‚
View attachment 3213310
Ngoja leo nikichome kichaka chako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ haya huu hapa uwanja wa arusha ni mita kumi au 20 pembezeni ya barabara na ni mwendo dakika 10-15 to airport, na uko karibu sana Burka city Arusha, πŸ‘‡πŸΎhii hapa picha ya uwanja na barabara kuwa karibu
 
Mbona munajenga stadium ushago? Amenities ziko wapi hapo?
 
Ukona hasira ju hao wachina hua munalamba wana wekeza multi billions in Kenya than in Bongoslum. 🀣 🀣 🀣
Uwekezaji wa wachina hapo kenya ni kwasababu ya bogas treaties mkuu not otherwise, wachina kama tungewapa go ahead ya treaties za kipuuzi kama nyie mnavyofanya sahii China ingekuwa imewekeza pesa mingi TZ kuliko nchi yeyote duniani, remember geographically we are the regional economic hub. Fartile land (almost all the land in TZ is arable) madini everywhere, tumezungukwa na nchi nane karibu zote ni land locked countries. Tungeruhusu tu ule mkataba wa bandari bagamoyo $30 billion project sahii
mngekua mshakimbia mijadala ya bandari, sisi ni taifa huru haturuhusu upumbavu mnaofanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…