Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tihahahhaaaaa.... Mwanza gani... Mwanza nayoijua? ??? Pwahahahaa. Mwanza hata kwa Eldoret haioni chochote..... Mawe nyingi kuliko majengo....

afadhali walete tu arusha Ile wakenya wamesaidia sana kuifanya kuwa town
 
Na naweza fika hata:-

No 38 - Kisii

30472411083_2691e5c26d_h.jpg

50914a8bf981eab4b201d485548f39a8.jpg

Ama No 86 - Ongata

30472251713_c82640462f_h.jpg

Au hata nitoke top 100 nifike No 127- Manda

Lamu%2Bcit.jpg
 
hio population n ya 2009,sasa hivi msa ina 1.4m.iyo population ya mwanza ni ya mkoa wala sio ya jiji lenyewe
Wacha nicheke... hizo ni speech zenye pumba ....sana......

Yaani umeshindwa hata kutoa maelezo sahihi...eti population ya mwanza ni ya mkoa wala siyo jiji....

naweza nikaleta picha za taxi kutoka kisumu ila sijui vile nita prov kwamba hizo picha ni za Kisumu....taxi za Kisumu zinafanana na taxi zingine tu wala hazina jina Kisumu Taxi...we jua tu kuwa kuna taxi Kisumu....tena tele...huwezi kuniambia mzungu anashuka toka Kisumu airport kisha anabebwa na baiskeli mpaka hotelini...hapo utakua punguani kufikiri hivyo
kisumu22-jpg.654960
mm nafahamu taxi gari ziko airport pekee lakini city center hakuna zaidi ya baiskeli bro kisumu nimekaa sana na nishawah kupandanda taxi baiskeli kutoka shauri moyo kwenda octopus just 15bob😀😀😀

na ndio ilikua mara yangu ya kwanza kuona mji kuna taxi baiskeli
 
naweza nikaleta picha za taxi kutoka kisumu ila sijui vile nita prov kwamba hizo picha ni za Kisumu....taxi za Kisumu zinafanana na taxi zingine tu wala hazina jina Kisumu Taxi...we jua tu kuwa kuna taxi Kisumu....tena tele...huwezi kuniambia mzungu anashuka toka Kisumu airport kisha anabebwa na baiskeli mpaka hotelini...hapo utakua punguani kufikiri hivyo
kisumu22-jpg.654960

Kwanza that Kisumu road from airport to town is very awesome....hata Mombasa road haifikii bana
 
usinifanye nilete picha za Arusha, Mwanza, Kigoma airport ndugu😀😀😀 wacha tu niwahurumie kwa sasa
We ziweke tu.....mbona bomba tu.....Ha haa ...mtanyamaza tu.....hamjui vinavyoendelea.......

Kitu chochote huwa kinatengenezwa kwa hatua ili kiweze kuwa na faida
 
Back
Top Bottom