Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kulingana na baadhi ya wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.

1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation

Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.


Windsor Golf and Country Club-Nairobi, one of the 11 world's best city golf clubs. With Nairobi's skyline in the background
http%3A%2F%2Fcdn.cnn.com%2Fcnnnext%2Fdam%2Fassets%2F141125160828-city-golf-nairobi.jpg

http://edition.cnn.com/travel/gallery/best-city-golf-clubs
 
UNHCR-Waiyaki Way-Nairobi

unhcr.jpg


Secretary Kerry Arrives at UNHCR Headquarters for Meeting With Refugees in Nairobi
17160829547_43fb5dedd3_b.jpg



Angelina Jolie in Nairobi UNHCR

Ange-mbl.jpg
 
leo mmeniangalia sio? hizo ziku zingine huwa hamuambiliki wala kusemezeka...leo ndio mmekumbuka kuwa lazima muheshimu EA largest economy sio? kichapo kimeingia na kwanzia leo...huu ujinga wa kufananisha LDC na Kenya utakoma ama tuwakumbushe...😀😀
Yaani ndio umeona umeweka nini sasa. Nachokutaka usikimbie maana unakuja usiku kwa kuvizia vizia. Leo usikimbie tunaongelea viwanja vya dege. Mimi ninakupatia viwanja 6 vya Tanzania na wewe uweke vyenu.
 
Back
Top Bottom