kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,755
kwanza hata umenikumbusha...wilson airportlol....hii nchi bana.......Wilson Airport can rank first or second in Tanzania
Ahsante sana mkuu.karibu bro tuko pamoja sana😀😀😀😀
Wanajifanya wahuni eti wanaziita airstrip na airfield....leo umenifurahisha sana aisee kumbe ukitoka nje ya nairobi kuna vituko sijapata kuona😀😀😀

karibu sana mdau.Huu uzi sijawahi kuufungua tangu nijiunge JF, huwa unatrend lakini naupita tu.
Aisee ni mtamu sana, nimecheka sana hui mpambanoo
Pongezi kwa Annael na wadau wengine wote
Mamaee,middle economyLodwar Airport Kenya (Acha utani wa kijinga)
![]()
![]()

Poa poa mkuukaribu sana mdau.
huko sirudi bro...nilishawadharau...😀😀.. zaidi ya ile dharau nilkua nayo...sasa hivi iko times 2😀😀😀Jaribu tena baadae
View attachment 654696
oops sorry bronaona wameanza kuhamisha magoli...wanajaribu kuongeza nguvu kwa kuileta mombasa ili iwe nairobi+mombasa vs dar.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
LDC wanadharau middle income?😀😀😀😀pole bro...it doesnt work like thatMimi mbona ninamuda mrefu nimeshawadharau. Bora uwe nguruwe tanzania kuliko binadamu Nairobi - Kibera.
sasa tulights tu.....leta aeriel view ya hizo takataka zenu...lolHiyo itapambana na bukoba Airport. Na inaweza kupigwa hand down
Tafuta kitu kingine
![]()
unalazimisha jina hazijaandikwa kwa paa kama kwenu......those are airstripsMamaee,middle economy![]()