Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
sijui niende kisumu pia mimi, Kenya's third city
hio population n ya 2009,sasa hivi msa ina 1.4m.iyo population ya mwanza ni ya mkoa wala sio ya jiji lenyewePili haupo sawa. Check...View attachment 654881 View attachment 654882
hio population n ya 2009,sasa hivi msa ina 1.4m.iyo population ya mwanza ni ya mkoa wala sio ya jiji lenyewe
hebu leta picha ndugu sio kuzungumza tu...hata mimi naweza sema nairobi is ahead of New York ila nisipo prove kwa picha n upuuzi mtupuSawa lakini mombasa kwa mwanza bado sana. Population kwenye maendeleo haijalishi. Ni factor moja kati ya nyingi kwenye maendeleo.
hebu leta picha ndugu sio kuzungumza tu...hata mimi naweza sema nairobi is ahead of New York ila nisipo prove kwa picha n upuuzi mtupu
Eh bwana eh kuna na hizi bwanalol....hii nchi bana.......Wilson Airport can rank first or second in Tanzania
wajua mombasa n mara mbili ya mwanza interms of population.ata una aibu kusema msa n kadogo
Ile mwanza moja nilifika.......hahaha.Niliona mawe yamezidi makao
pwahahahahha Mwanza skyscrapersIle mwanza moja nilifika.......hahaha.Niliona mawe yamezidi makao