Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yaani Garang alienda kusoma secondary school pekee in Tanzania na sasa inamaanisha Tanzania ilikomboa Sudan? Bruh 😂😂😂😂
So Uganda ilikomboa Tz coz Nyerere alisomea Makerere? Ama it only works for Tanzania 😂
Good point.😂😂
 
Ni wewe peke yako ndiyo hujui au inawezekana unajua lkn unajifanya chizi, new report zinasema more than 30% ya Wakenya wamejirejista kwenye kambi ya kakuma kama refugees, hiyo ni report kutoka mamlaka wewe ni nani unayepinga? Sasa kama wakenya wengi hivyo wana register kama wakimbizi, vp kuhusu maombaomba waliotapakaa Kenya nzima 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kunyan walivyo mafala unaweza kukuta wakadanganya wale kunyan waliojiregister as refugees huko kakuma wakasema ni wa TZ
 
Really ?….actually it was mainly the immigration and the economy….my source is not the internet , I live here …I know..
But you don't vote. 😀 😀 Also USA is not smalll kama kichuguu kwanba unaweza kujua everything what going on. You were not a campaign manager or analyst of Trump.
The simple answer to call you: You are an idiot 😀 😀 😀
 
Ni wewe peke yako ndiyo hujui au inawezekana unajua lkn unajifanya chizi, new report zinasema more than 30% ya Wakenya wamejirejista kwenye kambi ya kakuma kama refugees, hiyo ni report kutoka mamlaka wewe ni nani unayepinga? Sasa kama wakenya wengi hivyo wana register kama wakimbizi, vp kuhusu maombaomba waliotapakaa Kenya nzima 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ombaomba waliotapakaa Kenya nzima ni watanzania. That one has been documented over and over again and evidence has been posted on this thread a million times. Sema tu unajifariji na kujitoa ufahamu
 
Back
Top Bottom