Kwanza kabisa tukubaliane, Kenya inaongoza kwa idadi kubwa ya ombaomba Africa, pili, wale ombaomba wote mlisema wengi wao ni watanzania, na hoja ilipelekwa bungeni kwenu, lkn baada ya uchunguzi wabunge wenu wakakaa kmy, na baada ya kuwauliza wakawaambia ukweli kwamba 100% ya ombaomba ni wakenya, miongoni mwao mkapata 90% ni wajaluo na asilimia zingine wakagawana makabila mengine, na ndiyo mana haishangazi leo hii kuona wakenya over 30% wamejiandikisha kuwa ni refugee kwenye camps za kakuma, nyie ni maskini wakutupa.