Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wameazimia Samia awe mgombea Urais lkn hawana amani😑😄
Hata attitude iliyokuwepo mkutanon baada ya Samia kujitangaza mwenyewe (yan baada ya yule dada kusoma azimio) sio mzuri..
Wacha mtifuano uanze
yaani hahhaha inachekesha sana 😂😂😂😂
 
Wameazimia Samia awe mgombea Urais lkn hawana amani😑😄
Hata attitude iliyokuwepo mkutanon baada ya Samia kujitangaza mwenyewe (yan baada ya yule dada kusoma azimio) sio mzuri..
Wacha mtifuano uanzemim
Bado ngoma mbichi...mpaka kufikia October tutaona mengi.
Ila urais ni 50%
 
Kwa haraka haraka unawezadhania uko marekani 🥰
1000006428.jpg
 
Back
Top Bottom