muhogo_kiks
JF-Expert Member
- Dec 4, 2018
- 1,759
- 4,854
Mnahangaika sana aisee 🤣🤣 utafikiri kura mtapiga nyinyi. Mna same syndrome kama ya Americans vs China. You think you are better but in reality..........
Mama Samia oyee!!!
Na wewe mmarekani pori una mbwembwe sana.....shenzi......!!Jokes aside… I swear i thought this was Highway Interstate 410 aka I-410 as you approach San Antonio, Texas …. Omg!…. Is this Kenya for real?…
Wewe usijifanye dishi limeyumba SAWA? Kashakwambia kuwa msijifananishe na sisi. Kwani hata wewe huoni kuwa hiyohuyo CCM mnayoinyooshea vidole ndio inawatoa jasho humu? Kila kukicha tunamiradi? The fact kuwa mwanzoni nilikua simkubali Samia Ila nilivyoona na kusikiliza Leo, huyu mama amefanya KAZI tena kubwa sana unlike na Kichogo wenu Ruto ambae kila kukicha mnamgomea. Back to the points wewe mpaka Leo huoni tuu Tanzania ipo kama china hivi hata CCM huoni inamisingi Ya CCP of China? Wewe ndio mwehu na kichwa chako majiPunguza kuropkwa kijana mdogo, China does not have opposition parties. The political system in China is very different and is not even close to what CCM is in bongoslum. Sometimes kama hujui kitu ni heri unyamze tu. Sasa mbona unajiabisha. 🤣 🤣 🤣
Kakwambia ukweli isingekua SAPs mpaka Leo tungekua Kama awali. Subiri sasa hii miaka mitano ijayo ya mama ndio mtauona moto na Tanzania itapaa zaidiWacha maneno mingi umesema CCM ni sawa na CCP. Punguza kuropokwa.
Miaka ya 90, wananchi walipoulizwa kama wanataka mfumo wa vyama vingi, walikataa ila Nyerere aliwaambia CCM wakubali kwasababu ya SAPs. Chini chini serikali ikaanzisha kinachoitwa controlled opposition ila kiuhalisia hakuna vyama vingi Tanzania.Punguza kuropkwa kijana mdogo, China does not have opposition parties. The political system in China is very different and is not even close to what CCM is in bongoslum. Sometimes kama hujui kitu ni heri unyamze tu. Sasa mbona unajiabisha. 🤣 🤣 🤣
Dude I expected more from you. It’s not merely the artistes doing their job but rather the whole aspect of carrying a person in leadership to a level as though they’re a deity . This backward behavior shows how the politicians incompetency is rewarded through exaggerated praises for work not done. And it’s only in the dark Africa that you can still find such in this era, this is what used to happen in Kenya 30 years ago during Moi’s regime, before we realized they should be the ones singing for us not the other way around.Huduma hutolewa kulingana na mteja anavyotaka na sio wewe unaweza kutoa huduma gani. Watu wanatembea na beat, ulitaka waache maokoto? Sio juzi juzi mkulungwa wenu kalia a perform kabla hajafunikwa? Pia nasikiaga nyie ni aggressive hampotezei chance , mbona hapa Kinyume, mawazo mgando😜 IMO.
Anajaribu kuangusha angusha vijineno aonekane msomi ndio afiche aibu ya kuwa exposed.😂Wacha maneno mingi umesema CCM ni sawa na CCP. Punguza kuropokwa.
Kama Ruai ambayo nimeleta Google Earth images zake hapo juu ni slum, hizo uswazi zenu that I attached along zinafaa kiutwaje?So naikundu slum ni ruai tu?
Kama Ruai ambayo nimeleta Google Earth images zake hapo juu ni slum, hizo uswazi zenu that I attached along zinafaa kiutwaje?
www.ttgasia.com
huyo ndio rais anaongoza taifa lina umaskini zaidi ya asilimia 40% 😂😂😂
ila africa 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
View: https://x.com/moneyacademyke/status/1881159799683117287?s=46
katoka kwao kaja tanzania kupata burudani na huyu sisi tunamuhesabu kama mtalii 😂😂😂😂
View: https://x.com/bedjosessien/status/1880946234871132271?s=46
tunaangalia yule yuko no 1 aiseee😂😂Mama yenu ni wa tatu lakini tunajua hamwezi kubaliwa kuchapisha habari kama hio. Ila Africa. 🙌🙌🙌🙌
😂😂😂😂😂daaah sawa mkuuKaka jina Tanzania uwe unaandika kwa kuanza na herufi kubwa, hii imejirudia sana hadi uvumilivu umenishinda leo. 😂😂😂