kuandamana ovyo imewakula akili, hawajui wanataka nini. 😂😂😂Sasa ninyi mnaamini katika democracy ipi wapumbavu nyie.? 😂😂 mtu akiiunga mkono serikali ndio anakua hana akili.? Au anakua mjinga.? Then what is democracy according to you.? 😂😂😂
Kuna tofauti ya kuunga mkono na ukaragosi.Sasa ninyi mnaamini katika democracy ipi wapumbavu nyie.? 😂😂 mtu akiiunga mkono serikali ndio anakua hana akili.? Au anakua mjinga.? Then what is democracy according to you.? 😂😂😂
Jokes aside… I swear i thought this was Highway Interstate 410 aka I-410 as you approach San Antonio, Texas …. Omg!…. Is this Kenya for real?…Kwa haraka haraka unawezadhania uko marekani 🥰
View attachment 3206671
Hapo Karinde Nina uhakika hamna bongolala humu anayeishi mahali psnapoifikia. Alafu don't you find it funny that these guys can't find photos within the largest neighborhood in East Africa (64sq. Km) they have to find images on the outside of the neighborhood? Tells you hata wao wanajua Karen haina competition. Hiyo Masaki yao hata Mulimani ya Kisumu haifikii.This is Karen-end locals call it Karinde. A neighbourhood of Dagoretti in Kiambu, county. Hii Karen inandelea kuwaumiza sana. Sorry Karinde is not a slum, pole sana bongolala.
Si nilisema? 😂😂So bongolala umehamisha Dagoreti ukaleta Karen? 😂😂😂 Hapo ndio desperation imekufikisha?View attachment 3206524
Wazimu ambaye hajawai kanyaga nche ya Tanzania.😂Tuwache kuamini a global real estate firm tukuamini wewe wazimu. 🤣 🤣
Mzee nyinyi bado mko miaka yetu ya KANU ambapo Moi alikuwa kama mungu.Sasa ninyi mnaamini katika democracy ipi wapumbavu nyie.? 😂😂 mtu akiiunga mkono serikali ndio anakua hana akili.? Au anakua mjinga.? Then what is democracy according to you.? 😂😂😂
Wako desperate kinyama!Si nilisema? 😂😂
Ile ya Lori ya Maji Ngong pia washaapost.😂
Nyinyi hamjawahi kuwa sisi, usijipe umuhimu. 😂😂😂 Sisi ni communist state since day 1 ya uhuru wetu 1961. Kama si Structural adjustment program tusenge adopt democracy kamwe. Sisi ni China ya Africa na CCM ni sawa na Chinese communist party.Mzee nyinyi bado mko miaka yetu ya KANU ambapo Moi alikuwa kama mungu.
So naikundu slum ni ruai tu?One of the places mentioned as a slum in your map is Ruai.
Ruai slumView attachment 3206537View attachment 3206538
Dar middle-class areas 🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 3206541View attachment 3206542
Punguza kuropkwa kijana mdogo, China does not have opposition parties. The political system in China is very different and is not even close to what CCM is in bongoslum. Sometimes kama hujui kitu ni heri unyamze tu. Sasa mbona unajiabisha. 🤣 🤣 🤣Nyinyi hamjawahi kuwa sisi, usijipe umuhimu. 😂😂😂 Sisi ni communist state since day 1 ya uhuru wetu 1961. Kama si Structural adjustment program tusenge adopt democracy kamwe. Sisi ni China ya Africa na CCM ni sawa na Chinese communist party.
Usijitie umuhimu kabisa.. nyinyi kama ulikua haujui tunawachukulia wapumbavu tu kwetu, watanzania pekee wanaokuungeni mkono ni wanaoamini imperialism. 😂😂😂.
Misingi ya uundwaji wa taifa hili, hata waume zenu ulaya wanaijua. We are unshakable, the unity that we have is unwavering. We are the only country in the continent that is independent. No force is controlling us on the planet earth, and that’s why tunakopa pesa IMF tunamuajiri mchina au Mturuki and we fully control everything..
Nyie ni sawa na taifa lisilostaarabika ndio tunavyowachukulia. 😂😂😂
Vilaza kama wewe ndio nawataka. 😂😂😂Punguza kuropkwa kijana mdogo, China does not have opposition parties. The political system in China is very different and is not even close to what CCM is bongoslum. Sometimes kama hujui kitu ni heri unyamze tu. Sasa mbona unajiabisha. 🤣 🤣 🤣
Wacha maneno mingi umesema CCM ni sawa na CCP. Punguza kuropokwa.Vilaza kama wewe ndio nawataka. 😂😂😂
Nimesema wazi hapo juu. Without structural adjustment program tusinge adopt democracy. Unajua “structural adjustment program” ni kitu gani.? 😂😂😂 unazijua objectives zake.? Unajua nani aliileta hiyo program Africa.? Unazijua conditions waliweka for a country to be given financial support.? 😂😂.
Haya hiyo ni assignment yako ya leo. Kasome then ukishajua kuja tujadili.
Tukutane kesho tafadhali, ukishajielimisha.Wacha maneno mingi umesema CCM ni sawa na CCP. Punguza kuropokwa.
Na wewe mmarekani pori una mbwembwe sana.....shenzi......!!Jokes aside… I swear i thought this was Highway Interstate 410 aka I-410 as you approach San Antonio, Texas …. Omg!…. Is this Kenya for real?…