Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Kutapatapa ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
Screenshot_20230422-122733_1.jpg
 
Karen bado inawauma. ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ Yani video moja pekee imewapea pressure mumebaki kuchokora google maps kutafuta mabakio. Anyway hio ndio Karen sasa, the biggest and most exclusive suburb in East and Central Africa.
Hii sio slum ya Karen? ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜๐Ÿ˜…

2022-2-22_5-23-17.PNG
 
Alafu sehemu yao kubwa ni Karen, miaka nenda rudi ni Karen tu, sehemu imechoka, vijumba vya mkoloni barabara tope lkn mpk leo wanajiongopea na Karen tu ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Mtanganyika Karen imekuumiza sana I can see. Usijali, mtafika huko siku moja


Ukishapoa akili kidogo utazame na Rosslyn estate ukenue meno. Hope you have enough 'bandos'

View: https://youtu.be/RPlsDncsn5Q?si=63Qt3CFf3E4qWkoK
 
Kutapatapa ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡View attachment 3206462
Ndio still bado mpango umetick.
Wew subir uone effects za kuforce kujitangaza.. na alivyojitangaza mapema ndo kaharibu haswa.. Yan katoa mda mwingi sana kwa wengine kutekeleza mpango wako huku wakiwa bado madarakani wanaiba hela kwa ajili ya kampeni zao
 
Wew subir uone effects za kuforce kujitangaza.. na alivyojitangaza mapema ndo kaharibu haswa๐Ÿ˜„.. Yan katoa mda mwingi sana kwa wengine kutekeleza mpango wako huku wakiwa bado madarakani wanaiba hela kwa ajili ya kampeni zao
Alianza kujitangaza mapema ,Leo alikuwa anapitishwa sio kujitangaza na mlisemaga hivi hivi huku unamdanganya wale wa humu jf uliowashikilia akili ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

Nitakuoumbisha tena mda ukiwadia
 
Yeah, alafu kuna nyingine huwa wanazoom Google maps ile base ya Dagoretti yenye huitwa Karen End wanasema eti hapo ni Karen. Yani a whole 64 sq. km wameshindwa kupata sehemu mbovu yet their tiny Masaki with 4.4 sq. km tunawavumbulia sehemu mbovu bila lami kila siku alafu bado wanataka wazifananishe. ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
Karen-End is not even in Karen. Ila Mibongolala bana. Yani wanadhani it's by chance Karen was named among the best neighborhoods in the world?
 
Wewe unaongea upumbavu gani.? Muongo mkubwa wewe. Bishana na mimi nikuonyeshe. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Masaki is far better than any neighborhood in the region. Sehemu zanye lami karen ni kasehemu kadogo tu. Twende ground pimbi wewe
 
Back
Top Bottom