President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,095
- 93,513
Sera Ya Kenya Unatakiwa kubisha mpaka wakuue 🤣 🤣 🤣 🤣
Haters wa Samia na wapiga ramli wote chaliiii 😂😂😂😂😆😆😆👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DFALyJJNQSG/?igsh=MW9xeWFsOTZldTh0cg==
Tukutane Oktoba
View: https://www.instagram.com/reel/DFAQcugImDh/?igsh=MTFiY2R1Ymp3emh2aw==
Hawashindwi, unaona mkutano umejaa watu ambao hawajui hata uongozi wa kijiji ukoje imagine hadi Dotto Magari anaingia kuamua mstakabari wa nchi?Mwinyi kuongezewa kipindi cha tatu ni kosa ni uvunjaji katiba na huku bara ndio kitakachofuata!
Seems NCC link ndio itakua posta ya Dodoma.Dodoma NCC Link opposite na Shoppers plaza!
Mwinyi ameanza Urais 2020Mwinyi kuongezewa kipindi cha tatu ni kosa ni uvunjaji katiba na huku bara ndio kitakachofuata!
Ukitoa Dar skyline kama hii kule ni ndoto.
Karen mostly ni pori nafikiri nyumba hazifiki hata buku ndio maana ni still rural
Lakini hata Karen bado kuna slums special to accommodate 50 percent of under 1 dollars spenders 😂😅Karen is bigger than all their wealthy neighbourhoods combined, hata uongeze hio CBD yao bado Karen is bigger. Tukiwaambia Dar is slum ni mashamba ya mihogo na uswazi wanajam. 🤣 🤣 🤣
Basi nimechanganya madesa!Mwinyi ameanza Urais 2020
Karen bado inawauma. 🤣 🤣 🤣 Yani video moja pekee imewapea pressure mumebaki kuchokora google maps kutafuta mabakio. Anyway hio ndio Karen sasa, the biggest and most exclusive suburb in East and Central Africa.Lakini hata Karen bado kuna slums special to accommodate 50 percent of under 1 dollars spenders 😂😅
View attachment 3206318
Hiyo data inaongelea survival rates for under 5 we kima.Unajua maana ya life expectancy at birth wee kichaa? Hiyo yenu mnasemaje, life expectancy at death?🤣🤣
The irony of calling someone uneducated only to end up exposing your lack of education.🤣🤣
Kumbe ukona Karen yako nje ya Nairobi County na hatujui. 🤣 🤣 🤣