Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,948
- 34,998
Naikundu slum ni kibera tu?From Kasarani kuna slum to Kibera real quick. 🤣 🤣 🤣 Bongolala bila Kibera hawana content.
Naikundu slum ni kibera tu?From Kasarani kuna slum to Kibera real quick. 🤣 🤣 🤣 Bongolala bila Kibera hawana content.
Lakini which of the two countries is safer and peaceful? Jijibu mwenyewe! Nyang'au!!I can confidently say that Kenya police are well and more equipped than Tanzanian army.
View attachment 3205364
Uki zoom hii takataka karibu kila njia ni ya matope. 👇🏾Yeah, alafu kuna nyingine huwa wanazoom Google maps ile base ya Dagoretti yenye huitwa Karen End wanasema eti hapo ni Karen. Yani a whole 64 sq. km wameshindwa kupata sehemu mbovu yet their tiny Masaki with 4.4 sq. km tunawavumbulia sehemu mbovu bila lami kila siku alafu bado wanataka wazifananishe. 😂 😂
Pia usisahau kutuelezea pia jinsi mlivyopta hizi namba. They are based on what!! Kwenye muziki tumewashinda, kwenye movie tumewashinda, hata kunywa bia tumewashinda hebu tuambie hizo numbers are based on what. Na hata bata la ma festival na utalii hamtufikiiI don’t have time to waste on baboons.
Tanzania entertainment industry
View attachment 3205355
Kenya entertainment industry
View attachment 3205356
Hutaki video? 🤣 🤣 🤣Uki zoom hii takataka karibu kila njia ni ya matope. 👇🏾View attachment 3206108halafu ndio ulinganishe na masaki.? 😂😂😂 umerogwa wewe.
Alafu sehemu yao kubwa ni Karen, miaka nenda rudi ni Karen tu, sehemu imechoka, vijumba vya mkoloni barabara tope lkn mpk leo wanajiongopea na Karen tu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Barabara karibu zote hapo karen ni tope tu. 😂😂😂 usiitaje kabisa huo uchafu kulinganisha na either Mbweni or Masaki.
Hizi utazifuta kwa tochi hapo masaki kama hivi unavyohangaika. Hapo karen kila barabara ni tope, very few are tarmaced.Ze richesti neibahood in Isti Afirika. Hizi instanbul huwa hazioni, ngoja pothole ipatikane Kilimani utaona vile atakimbia kureport. 😂😂
View attachment 3206122
They are allergic to paved roads. 🤣 🤣
Nyumba za kizamani kibao + karibu kila barabara ni ya matope. 😂😂😂 hakuna kitu chochote cha maana cha kuona labda wajisifie miti mingi na mapori. 😂😂Alafu sehemu yao kubwa ni Karen, miaka nenda rudi ni Karen tu, sehemu imechoka, vijumba vya mkoloni barabara tope lkn mpk leo wanajiongopea na Karen tu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Iko wapi masaki apo.Ze richesti neibahood in Isti Afirika. Hizi instanbul huwa hazioni, ngoja pothole ipatikane Kilimani utaona vile atakimbia kureport. 😂😂
View attachment 3206122
Tangu lini landscaping ikafanywa kwa barabara ya matope.Hizi utazifuta kwa tochi hapo masaki kama hivi unavyohangaika. Hapo karen kila barabara ni tope, very few are tarmaced.
4.48 sq. km pekee na bado kuna barabara za vumbi. Alafu tunaambiwa ndio best neighborhood in the region. Milimani, Kisumu can whip this Masaki like Mburukenge. 😂 😂
View attachment 3206113
Barabara za vumbi hapo Karen huna haja ya kuzitafuta ni zote. 👇🏾Ze richesti neibahood in Isti Afirika. Hizi instanbul huwa hazioni, ngoja pothole ipatikane Kilimani utaona vile atakimbia kureport. 😂😂
View attachment 3206122
Kwanini unaendekeza uongo.? Haya jitetee hapa. 👇🏾😂😂😂Tangu lini landscaping ikafanywa kwa barabara ya matope.
Barabara za vumbi hapo Karen huna haja ya kuzitafuta ni zote. 👇🏾View attachment 3206128View attachment 3206129View attachment 3206130😂😂😂😂 aise