Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,947
- 34,996
Any source that quotes Kibera population as 1M is not a source to take seriously.
Huyo kwenye picha unaweza kuta ni ww au member mwingine wa kikunya kwenye hii thread
Any source that quotes Kibera population as 1M is not a source to take seriously.
Asante kwa kukubali kwamba Tanzania tunaishi maisha marefu kuliko nyie na hapo automatically umekubali healthcare system ya Tanzania ni bora kuliko ya Kenya.This is the real life expectancy in Kenya, 66.8 years, hizo zingine wanaonyesha ni FB posts za Bongolala.
View attachment 3205074
![]()
Kenya
Health data overview for Kenya, containing the latest population, life expectancy and mortality data from WHO.data.who.int
Yeah, ni kweli kabisa cz kibera popn ni over 2.5mAny source that quotes Kibera population as 1M is not a source to take seriously.
Kama hamuipendi choreni mstari pelekeni Google waiondoe hapo Kenya, au muite Nicxie aka update mana aliwahi kusema ata update Google map aondoe ma slums yenu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣From Kasarani kuna slum to Kibera real quick. 🤣 🤣 🤣 Bongolala bila Kibera hawana content.
Onesha parking iko wapi hapa 👇👇🤣🤣🤣Kasarani ikona parking spaces tatu kubwa, makwapa ina ngapi?
Will that finish slums in Nairobi? There are more than 100 slums in Naipori alone I dont know how long it will take to phase them out.Btw , Kibera is going through a massive modernization process and in a few years down the road , it will be the new Nairobi’s Masaki but with tarmac roads …😂😂😂
Kuna more than 200 slums in Nairobi alone, we huogopi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Will that finish slums in Nairobi? There are more than 100 slums in Naipori alone I dont know how long it will take to phase them out.
Pole sana, Kasarani ni kubwa sana, land yake wanaweza jenga hata stadium zingine kumi with a capacity of 60k na bado ibaki , haijajengwa kwa plot ya 50 by 100 kama makwapa. 🤣 🤣 🤣Onesha parking iko wapi hapa 👇👇🤣🤣🤣View attachment 3205107
Bila vipicha vya upandeupande hawana jeuro kwisha habari yao 🤣🤣🤣🤣Umepanic umetoka nje ya mada, ngoja nikukumbushe tuko hapa 👇👇🤣🤣View attachment 3204735View attachment 3204736
Haya compare and contrast kichaa wewe.
Ama wakipiga wakenya vibao hovyo mitaani🤣Naona mpaka chinese wanapigana na mama ntilie pale kariakoo. In Kenya Chinese utawapata either kwa site ama ukienda pale china town.
Waelewe hapa sio Magufuli city maana Dodoma kuna eneo la mawizara magufuli city, eneo la tasisi za serikali na ubalozi na eneo la kibiashara etcNjedengwa Dodoma is under construction View attachment 3204814View attachment 3204816View attachment 3204820View attachment 3204815View attachment 3204818View attachment 3204819imagine 5 years ago hili eneo lilikua pori tu. Lakini sahii ni crane tu ndio zinaongea. DODOMA is coming.
Hao watoto wa slums wakikuwa ndio wanakuja kuwa kina Teargas et al. Huku JF😁Aisee, Soweto bora ata kibera 👇👇🤣🤣🤣View attachment 3204940