Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya hawawezi kujifunza, bado wanaishi na akili za kikoloni.
Individualism, Self-esteem, Tribalism, Ushamba, Maisha Magumu hivi vyote vinawafanya wakenya wazidi kudidimia.

Everything kwao ni mashindano, they don't know about cooperation
 
Leta tuone. Unadhani hii ni Dar yenu yenye uswazi kila corner?
Sasa wewe kichaa kwani kasarani iko wapi? Si ipo Nairobi ambayo ndiyo makao makuu ya slums duniani, inakosaje kuwa na ma slums? Wewe unachukia sn ma slums sema ndiyo huna uwezo wa kuyaondoa unabaki kuumia tu, juzi nilikuambia parklands kuna ma slums ukabisha nikakuaibisha, leo tena unabisha wkt mwenzio kakausha 👇👇🤣🤣🤣🤣🤣
Screenshot_20250118-065016~2.png
 
Makenya yalivyo masenge ukiyaonesha majengo yanapagawa kweli kweli, yapo radhi yafe njaa lkn uyajengee cosmetic projects kama hizi, sisi elimu yetu ni bora na ndiyo mana tulianza na mambo ya msingi then tunamaliza na cosmetic projects, huwezi kusikia Tz imefeli kwa jambo lolote cz tuna msingi wa mawe sio mchanga kama Kenya na vinchi vingine jua kali vya Africa.
 
Sasa wewe kichaa kwani kasarani iko wapi? Si ipo Nairobi ambayo ndiyo makao makuu ya slums duniani, inakosaje kuwa na ma slums? Wewe unachukia sn ma slums sema ndiyo huna uwezo wa kuyaondoa unabaki kuumia tu, juzi nilikuambia parklands kuna ma slums ukabisha nikakuaibisha, leo tena unabisha wkt mwenzio kakausha 👇👇🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 3204936
Wacha desperation bongolala, Soweto iko maeneo ya Eastlands huko sides za Kayole. Kasarani is not even in Eastlands to begin with. Wacha kujiliwaza na picha za kuokotwa na kujifanya unajua Nairobi kuliko wenyeji wakati wewe upo Tandale
 
Sasa wewe kichaa kwani kasarani iko wapi? Si ipo Nairobi ambayo ndiyo makao makuu ya slums duniani, inakosaje kuwa na ma slums? Wewe unachukia sn ma slums sema ndiyo huna uwezo wa kuyaondoa unabaki kuumia tu, juzi nilikuambia parklands kuna ma slums ukabisha nikakuaibisha, leo tena unabisha wkt mwenzio kakausha 👇👇🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 3204936
Ebu tuonyeshe hio Soweto ya Kasarani kwa map? Unaokota tu articles online alafu unajiona mjanja. 🤣 🤣
 
Ebu tuonyeshe hio Soweto ya Kasarani kwa map? Unaokota tu articles online alafu unajiona mjanja. 🤣 🤣
Huyo watchman bado ako na usingizi achana naye. Eti Soweto iko Kasarani 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom