Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Pole sana, Kasarani ni kubwa sana, land yake wanaweza jenga hata stadium zingine kumi with a capacity of 60k na bado ibaki , haijajengwa kwa plot ya 50 by 100 kama makwapa. 🤣 🤣 🤣
View attachment 3205135
Mko hovyo sana kwa planning, imagine uwanja wakati mnaujenga hamkujua kwamba gari zinatakiwa zipaki hapo, baada ya kupita miaka mingi ndiyo mkachukua maeneo ya pembeni mwa uwanja mkajenga parking jua kali 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
This is the real life expectancy in Kenya, 66.8 years, hizo zingine wanaonyesha ni FB posts za Bongolala.

View attachment 3205074

Hivi umeenda shule kweli wewe? Unashindwa kuchanganua information hiyo uliyoweka hapo ni life expectancy at birth. Poor mama education
 
Mko hovyo sana kwa planning, imagine uwanja wakati mnaujenga hamkujua kwamba gari zinatakiwa zipaki hapo, baada ya kupita miaka mingi ndiyo mkachukua maeneo ya pembeni mwa uwanja mkajenga parking jua kali 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Unajua nini kuhusu architecture na wewe ni watchman. Kasarani ikona proper parking tena imepandwa hadi miti for aesthetics, makwapa hata parking haujulikani iko wapi.
 
Pole sana, Kasarani ni kubwa sana, land yake wanaweza jenga hata stadium zingine kumi with a capacity of 60k na bado ibaki , haijajengwa kwa plot ya 50 by 100 kama makwapa. 🤣 🤣 🤣
View attachment 3205135
Huyo watchman anafaa aambiwe the land on which Kasarani stadium sits is is 1,000 acres. It is just massive. Kuna kipindi nilipita across that land kwa miguu from Sandton Kasarani tu Baba Dogo. So expansive!!
 
Onesha parking iko wapi hapa 👇👇🤣🤣🤣View attachment 3205107
Bongolala Kasarani has three parking lots. Makwapa iko na moja
Dofoto_20250118_135603127.jpg
 
Nakwambia vitu watanzania wanaongelea daily utachoka sasa hizi ndo gani? We ni flowerboy? Yani unakaa chini kuangia maisha ya some girls? Man up dude😂😂😂
Wewe kilaza hizo showbiz ndio zinafanya our music industry dominating Kunya renda music.. our music is far better than yours because of those showbiz. Wewe utayajulia wapi hayo, Shamba boy.? 😂😂😂 unatoka maporini huko, umemeza vimasomo kadhaa, eti unataka kujitia ujuaji kwa dunia ya muziki.? 😂😂😂😂 this is crazy. No wonder you will forever remain behind us as far as music and entertainment is concerned.
 
Back
Top Bottom