Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Acording to who.? 😂😂 Azam media group operates all almost each and every single country in East and central Africa, and they do have shares kwene leagues zote za hayo mataifa. ukubwa wa NTV ni upi.? Kuandikwa google.?
NTV inazidiwa na Wasafi Media Subscription kwenye Youtube 🤣 🤣 🤣 🤣 👇👇👇👇

1737030076701.png

1737030102160.png
 
Acording to who.? 😂😂 Azam media group operates all almost each and every single country in East and central Africa, and they do have shares kwene leagues zote za hayo mataifa. ukubwa wa NTV ni upi.? Kuandikwa google.?
Muulize NTV inapatikana Tanzania kwa content provider gani wa Kenya kama sio kupitia Azam media?
 
Muulize NTV inapatikana Tanzania kwa content provider gani wa Kenya kama sio kupitoa Azam media?
Bro, there is no Azam in Kenya. The only Azam product that tried to make an inroad in Kenya was that energy drink and it was beaten by Predator and Power Play. Hizi story zenu za media ni mustarbation tu. Hamjui mnachoongelea.
 
Tutajie Sponsors wa Kenya Premier League 🤣 🤣 🤣

1737033875082.png

Ngoja tuone kwa vile wanajenga uwanja mpya wa Talanta labda watapenya 😁😁😁
Hawatoandaa chochote mkuu, hawana huo uwezo, kuna uwezekano EA ikakosa nafasi hii adhimu kwasababu tumewashirikisha hawa maskini. Sheria zinataka wote muwe tayari ndiyo mashindano yafanyike. Tatizo Uganda na Tanzania zipo tayari but wanuka mavi hawana hata uwanja mmoja, na pia CAF wame review infrastructures zao kuanzia roads mpaka hotels ni jua kali, may be CAF wamaweza kufanya jambo wakawapa Rwanda japo wana uwanja mmoja lkn wanaweza kukidhi vigezo.
 
Alafu town kunakaa hivi 👇👇🤣🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 3203728
Yani Mtwara ina afadhali 🤣🤣🤣🤣🤣
Kiambu town huijui wacha kujiaibisha we watchman. 🤣 🤣 Alafu Northlands hata haiko karibu na Kiambu Town, una anika upumbavu wako mbele ya dunia. Nowonder wewe ni watchman. 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom