Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

karibu mkenya mwenye akili zake ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
IMG_2950.jpeg
 
Kweli data za kupika hazijifichi. Mchezaji kwenye ligi kubwa na timu kubwa analipwa Tsh: 292,556.00 ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚

Mna hali mbaya sana ya kimaisha!

Nicxie nairobae IamLee NairobiWalker Reborn Ktb Teargass

You're basing living standards on how much a footballer earns? Is your head okay?
How much do teachers earn in your country?
How much do doctors and nurses earn?
How much to policemen earn?
What's your minimum wage?
Those are the important indicators you should be looking at, not footballers.
Fool.
 
Wakuu, hili ni jengo la kuuliza liko wapi kweli ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐ŸคฃView attachment 3203730
Watchman heshimu masaa za kazi.

That building is in a small town so ubaya iko wapi nikuliuliza hivyo? FYI, hilo jengo ikipelekwa kule Mbeya 'city' inakuwa moja ya majengo marefu zaidi hadi bango liandikwe ya uzinduzi wa lift jinsi mlivyofanya huko nyuma.

Wageni mashuhuri waalikwe na mapochopocho yaandaliwe, huku wanengua viuno wakiburudisha wageni na wasio wageni.
images (43).jpeg
images (44).jpeg
images (45).jpeg
images (46).jpeg
 
You're basing living standards on how much a footballer earns? Is your head okay?
How much do teachers earn in your country?
How much do doctors and nurses earn?
How much to policemen earn?
What's your minimum wage?
Those are the important indicators you should be looking at, not footballers.
Fool.
You can say all you want, but facts are mna hali mbaya sana.
Si kila siku huko matatizo ni mishara ya hao uliowataja.

Crisis talks over Sh13 billion teachers' pay dispute

Kenyan government reaches deal with doctors​

 
Back
Top Bottom