Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nusu ya wakundustan wanaogelea kwenye uchochole wa ufukara according to kasongo yeye government 😂🤣

Screenshot_20250115-145531.jpg
 
Nani amebisha? Unadhani sisi ni kama nyinyi who excel in denial? No, we aren't. Yetu ni 39% wakati hamzungumzii yenu which is 44.9%. See how desperate you people are?
hatujakataa ila data ulizoleta zinaonesha kabisa ni 2017 na hakuna sehemu tumekataa kuwa in 2017 hatukuwa na umaskini wa kiwango cha 44.4 .
 
Back
Top Bottom