Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mwaiofhawaii brothers 🤣 🤣 🤣 Unakaa 24/7 kubishana JF

1736371609492.png
 
View: https://youtu.be/QSYd9VEkAXM?si=poMH6apaJ-7jtxhP

View: https://youtu.be/5nTFg8CMiS8?si=PbUIYISLL3mHUSvz
Aisee nisikie tena mtu anaongelea Mombasa hapa tena dah! Wakenya kama hili ndo jiji lenu la pili aisee hapana😩😩, stesheni imeshaanza kuchoka viti vya kusubiria treni, viti vya ndani ya treni mmh!

Nadhani sasa hapa mnaweza kuona uongo wa kujifariji hawa jamaa zetu.

1. Mombasa imejaa nyumba za udongo, yn 90% zinaonekana nyumba za udongo.

2. Jamaa co civilized kabisa, unaweza kuona stesheni ilivyochoka, imechoka kweli kweli, no wonder huwa wanatumia picha za uzinduzi kupost kwenye mitandao ya kijamii, huwezi kuona mkenya humu anapost video zaidi ya picha za uzinduzi, na hapa napata somo kwnn wazungu wanafurika Tz na kila wakija baada ya kutembelea nchi zingine za Africa huwa wanapigwa butwaa kutokana na infrastructures za kisasa na pia ubora upo vilevile kama ilivyozinduliwa.

3. Treni ndani ni kelele mnoo, tofauti na treni za Tanzania (civilization), na pia cruising speed ya train yao ni ile ile 60kmph (wana safari ndefu kufika electric train za Tanzania).
Screenshot_20250109-084641~2.png
 
Nadhani sasa hapa mnaweza kuona uongo wa kujifariji hawa jamaa zetu.

1. Mombasa imejaa nyumba za udongo, yn 90% zinaonekana nyumba za udongo.

2. Jamaa co civilized kabisa, unaweza kuona stesheni ilivyochoka, imechoka kweli kweli, no wonder huwa wanatumia picha za uzinduzi kupost kwenye mitandao ya kijamii, huwezi kuona mkenya humu anapost video zaidi ya picha za uzinduzi, na hapa napata somo kwnn wazungu wanafurika Tz na kila wakija baada ya kutembelea nchi zingine za Africa huwa wanapigwa butwaa kutokana na infrastructures za kisasa na pia ubora upo vilevile kama ilivyozinduliwa.

3. Treni ndani ni kelele mnoo, tofauti na treni za Tanzania (civilization), na pia cruising speed ya train yao ni ile ile 60kmph (wana safari ndefu kufika electric train za Tanzania).View attachment 3196395
Aisee jamaa wana hali mbaya sana yaani nimejaribu kutafuta mji wa Tanzania wa namna hii nimeshindwa
 
Back
Top Bottom