Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG_2728.jpeg
 
Wewe ni zuzu hasa. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ anaekuja kununua ubungo si wewe, Labda kama wewe ni business owner, anaekuja kununua Ubongo ni wafanya biashara wakubwa kilaza wewe.
Wanakuja kununua kwa stalls. ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ
 
ni nn hebu tudanganye hata dar ipo usifkiri hakuna ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hakuna China Square Dar is a slum, bongolala unaforce issues. China Square ni duka kubwa kama IKEA ama Home Depot. Bongolala mtulie, hamjafika hio level bado, mungoje stalls zenu ziishe. ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Back
Top Bottom