Where is the lie.? Hizo china square huko kwenu are just normal supermarkets. Ubungo commercial and logistics center is for retail traders, ambapo wataenda pale kununua ili wakauze madukani au nchini mwao, kwa tafsiri nyingine lile jengo litakua kama kariakoo but all business will be done under one roof. Watakuja wafanya biashara wa Congo, Zambia, Malawi na vinchi vingine vya EA kununua pale kama wanavyokuja kununua Kariakoo kwasasa. Wewe unatuletea upuuzi wa Supermarkets in comparison.? 😂😂😂 tena eti Umeenda mbali una claim ati nyie mlitutangulia.. 😂😂