GANJIBHAAI
JF-Expert Member
- Mar 22, 2018
- 723
- 1,883
Walichobaki nacho ni ku host draw tuu ili na wao wapate neema za CHAN 🤣🤣🤣nyayo ilikataliwa na CAF, kasarani muliambiwa mpaka mwisho dec mpaka leo bado munatapatapa kifo cha mfamaji😂
99% ya kunyan wanaishi au wameishi kwenye nyumba za bati,ndio maana mkipata good time kidogo uwa ushamba unakua mwingiIs this where you live ?… am not following you.. come again!…
It's giving ushago vibes
![]()
Doesn't matter bro, it's still Darislum and there are no roads.😂😂So hii ndo sinza yako? Au kwa kuwa umeona lile blue tower kwa mbali😂
I told you to visit Tanzania. I will host you.
Upunguze aibu Ndogo ndogo
Doesn't matter bro, it's still Darislum and there are no roads.😂😂
Msilinganishe Nairobi na Vitu vya kipuuzi! Keny.oko!
Kariakoo pekee ina ghorofa nyingi kuliko ghorofa zinazopatikana nchi zote East and Central Africa combined.Maghorofa yanajengwa wapi? 🤣🤣
![]()
CAF hawajawahi kuwa wajinga, waache kupeleka mechi ya ufunguzi kwenye football nation wapeleke kwenye comedian football country, wacha uchale.Signs of where the opening and closing matches will be held. 😂 😂
So, walisomea hizo professions ili wasaidie nchi yao au wakasaidie nchi za wengine? Mbona wakenya wote ni wajinga namna hii? Hivi wewe nchi yako ingekuwa iko developed na fursa nyingi ungekimbilia nchi za watu? Kuweni na akili japo kdg basi. Kutokana na hali ngumu nchini kwenu na ukosefu wa fursa wakenya wengi wamekimbilia Tz, na wengi wao ni walimu, FYI Tz ni the biggest source of remittance kwa Kenya kwa hapa Africa, hapo utasema nani maskini?How many doctors and computer engineers from India work in the US?… so unafikiri they got visas with equivalent of Tandale High School certificate…wacha ujinga kilaza …
So are you assuming everyone who migrate to the US for an opportunity is from a poor country?…..Mr Watchman … stick to your rungu speciaty….So, walisomea hizo professions ili wasaidie nchi yao au wakasaidie nchi za wengine? Mbona wakenya wote ni wajinga namna hii? Hivi wewe nchi yako ingekuwa iko developed na fursa nyingi ungekimbilia nchi za watu? Kuweni na akili japo kdg basi. Kutokana na hali ngumu nchini kwenu na ukosefu wa fursa wakenya wengi wamekimbilia Tz, na wengi wao ni walimu, FYI Tz ni the biggest source of remittance kwa Kenya kwa hapa Africa, hapo utasema nani maskini?
We call that projection…🤣🤣99% ya kunyan wanaishi au wameishi kwenye nyumba za bati,ndio maana mkipata good time kidogo uwa ushamba unakua mwingi