Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe mambo ya pesa hujui fala hii. Ngoja utumiwe picha kwa WhatsApp udanganye nayo wajinga.

In this list Ebu niambie nchi Tanzania is more wealthier than. I cans see China, Germany and France, hao pia ni nchi maskini?
View attachment 3194451
In 2023 India received $124 billion ( mostly from the United States)….now you know why their PM is against a BRICS currency despite India being one of the found members of the group …. They know if Brics currency come to reality to challenge the mighty Dollar, Trump will tax 70% on any remittances to India and China … China might survive it but not India …Brics currency ain’t happening any time soon …
 
Hao wote uliowataja wanakimbilia kutafuta green pasture kwenye developed countries, yaan wakimbizi, hizo nchi haziwez kuwa source of remittances kwa sababu ni maskini wasiokuwa na chochote.
Haya pitia kutoka imf
When migrants send home part of their earnings in the form of either cash or goods to support their families, these transfers are known as workers’ or migrant remittances. They have been growing rapidly in the past few years and now represent the largest source of foreign income for many developing countries.
So what’s your point in the conversation?…. you are like reading news on TV … 🤣🤣
 
Remittances inafahamika hasa kuwa ndo source of income kwa poor nation's au nchi zilizoko vitani. Ndo maana huwez kuta marekani wamarekani na waingereza kwenye orodha ya top ten receivers of Remittances pamoja na kuwa wanamabishara makubwa mengi sana huko duniani.
Remittances ni hela ya mboga
Kwa hivo Vumbistan ni matajiri kushinda China, Germany, France na Belgium sivyo?
Napenda ulivyobadilisha mkondo from Tanzanians receive investments to remittances are for poor cuntries. 😂 😂
ch2_table2.png
 
Inaitwa export revenues, tax collection is such a broad term to use for this context. Jifunze kutulia.
Kumbe export revenue huwa inatolewa wakati wa calculation ya corporate tax. Kajifunze kwanza ndo uje kubishana, is corporate tax no tax revenue?
 
Kwa hivo Vumbistan ni matajiri kushinda China, Germany, France na Belgium sivyo?
Napenda ulivyobadilisha mkondo from Tanzanians receive investments to remittances are for poor cuntries. 😂 😂
View attachment 3194463
Angalia kwanza orodha ya hao receivers of remmitance ndo utapata picha tunachoengelea, mostly ni nchi zile zisizo stable au Kuna shida hapo , walau mngekuwa ni miongoni mwa sources of remittances kama usa, Kuwait Qatar. Nyinyi ni maskini tu kubali
 
I said it's a broad term to use for this context. Ulisomea wapi bana? 🤣 🤣
Haha namimi hivo nimeweka kuwa ta collection itashuka tu kwa sababu ukiachana na vat other taxes bado hutozwa kwa exports na nimesema kabisa tax collection kwa sababu haitakuwa na ubaguzi wa aliyexport wala aliyeimport Bali charged on profit
 
Kwa hivo Vumbistan ni matajiri kushinda China, Germany, France na Belgium sivyo?
Napenda ulivyobadilisha mkondo from Tanzanians receive investments to remittances are for poor cuntries. 😂 😂
View attachment 3194463
Anasema Remittance receiving countries are poor lakini Tanzania yao hata haipo in top 130 countries Remittance senders in the world.
 
Anasema Remittance receiving countries are poor lakini Tanzania yao hata haipo in top 130 countries Remittance senders in the world.
Sio poor tu, Bali ni nchi ambazo kwao fursa hakuna, atleast ungeongelea kuwa kenya is among of sources of remittances ila kuwa receiver ni Dalili ya kuwepo kwa wakimbizi wengi
 
Wewe mambo ya pesa hujui fala hii. Ngoja utumiwe picha kwa WhatsApp udanganye nayo wajinga.

In this list Ebu niambie nchi Tanzania is more wealthier than. I cans see China, Germany and France, hao pia ni nchi maskini?
View attachment 3194451
China remmitance inajulikana ni biashara na construction,france wizi wanaofanya west africa ndio maana wapo kwenye hiyi list,hizo nchi zingine remmitance zao ni kuhudumia,kusafisha vyoo,home maid e.t.c
 
Back
Top Bottom