Nyie wote mnaobishia Rural electric connectivity msubiri mabwana wenu wawaandike uzuri project ipo finaced by World Bank, EU, Tz Government, so mtazipata kwa Mabwana wenu tu.
Tukiwaambia mnakua wabishi.
Tambua TANESCO na REA ni vitu viwili tofauti, hata ukinunua umeme via TANESCO unakatwa hela ya REA,
TANESCO kwa 10k unapata uniti 28 za umeme ila REA ni 77.
Kama mna kijiji kisichounganishwa na umeme mtuletee tafadhali.
Mkumbuke gharama ya kuunga REA majumbani ni Tsh. 28,000
Ndio maana kuna member kasema yoyote aliyeshindwa kuunga umeme wa REA au kuwasaidia ndugu kuunga REA ni fala like elfu 28 tu watu washindwe na vijijini ndio hao wanawalisha nyie wehu
Zamani ilikua inakua ngumu kuunga TANESCO sababu unakuta unaambiwa ulipie nguzo etc gharama zinafika hadi 1million vijijini hawawezi, ila REA inaleta nguzo kijiji kizima kazi yako.kulipia Tsh 28,000 tu.
Ndio washindwe kufika 99%
View attachment 3194028