Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa si useme bila kulia.
Pin page

Astral Aviation | OneSpotter.com


Kenya's Astral Aviation to add first B767-300F in 1Q24 - ch-aviation's Astral Aviation to add first B767-300F in 1Q24 - ch-aviation
so hzo ndege ni zenu au sio 😂😂😂😂

ushawah kupimwa mkojo wewe??

na unajiamini kupost kabisa yani umeona watu wote humu hatuna akili yani mpaka leo hii 2025 munataka kudanganya watu aisee vituko havitaisha
 
And that’s why both opening and Final games of AFCON will be held in Nairobi due to close proximity of the three stadiums. Actually most matches will be played in Kenya to prevent players’ jet lag.
wakat CHAN imewatoa mavi mpaka leo hamujui uwanja gani utatumika😂😂😂
 
so hzo ndege ni zenu au sio 😂😂😂😂

ushawah kupimwa mkojo wewe??

na unajiamini kupost kabisa yani umeona watu wote humu hatuna akili yani mpaka leo hii 2025 munataka kudanganya watu aisee vituko havitaisha
Mbwa fwatilia mada, wacha kuropokwa.
 
Wabongo tunapenda blah blah ila kiukweli Nairobi ni ya kulinganishwa na Johannesburg, Cairo, Rabbat.
Tuna kazi kubwa sana kama taifa ili tuweze kuifikia Nairobi.
Kwa Kemya Battle sahihi ni Dar Vs Mombasa.
 
Naona mchawi unachekelea mtoto wa jirani kuumwa. Hii haifanyi mwanao kuwa bora.
Hadi leo vipi bado imekwama?
Lile korokoro lenu huwa mnapanda tupieni japo vipicha.
Train yetu haikwami ovyo ovyo kama hio yenu, leaving passengers stranded. Pambaneni na hali yenu.
 
Back
Top Bottom