RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 59,835
- 137,031
Leo ndio nimehitimisha kuwa hili ni lipumbavu. Nimelitupa kwenye dust bin.Umetumia nguvu nyingi kumjibu kichaa,hivi kwa akili pesa iliyotumika kujenga ile station,serikali ndio ishindwe kujenga barabara ya km 10!