Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Oneni viroja vya wakunya, wanefika mbali kufananisha mji wa harufu mbaya, slums , zombies of Dumpsites, chaos, poor road infrastructure, matatu madness na Jiji kama London . Hii bangi mnavutaga huwa mnachangana na Mavi toka flying toilets of Kibera ?
Bongolala umesahau na nyinyi mnalinganishanga hiki glorified fishing village yenu na New York? Kweli nyani haoni kundule
 
Kwani wewe hujui Kama Dom bado inajengwa? Mara ngapi tume share picha za Dom humu na mkakosa mpaka amani, zipo picha za Dom zina vibe la Alaska kabisa na mnaijua vzr, ulitaka kila Kona kuwe na lami wakati mji wenu mkuu hauna lami ndani ya CBD, wacha wivu.
Unataja Alaska na hujawahi hata kanyaga nje ya Tandale
 
Alaska is one of the coldest inhabited places on the planet, Dodoma is one hot place. What kind of idiot would even compare the two in terms of vibes? Enyewe utandale umejaa hawa wapuzi vichwani. 😂 😂 😂
I have been to Fairbanks and Anchorage in Alaska and it’s mind boggling to even bring up Dodoma in any comparison….. very weird!…🤣
 
Kwani wewe hujui Kama Dom bado inajengwa? Mara ngapi tume share picha za Dom humu na mkakosa mpaka amani, zipo picha za Dom zina vibe la Alaska kabisa na mnaijua vzr, ulitaka kila Kona kuwe na lami wakati mji wenu mkuu hauna lami ndani ya CBD, wacha wivu.
Wewe huwa ni mwendawazimu, Leo nimedhibitisha
 
Nionyeshe kibango cha mkandarasi ama hata wheelbarrow ikiwa site...
mpuuzi wewe kama hujui bado phase 1 inajengwa kupande cha kwenda port ndio maana unaonekana huna akili 😂😂😂😂

hio SGR nairobi terminal inachukua almost 1 hr kufika kutoka CBD alaf munasema muna save time gani anaepanda bua anatumia 8 hrs anaepanda treni anatumia 7 hrs with alot of cost za transport kutoka terminal mpaka town
 
1 hour pengine utembee kwa miguu, lakini ukitumia gari basi haipiti dakika 15. Kubali mmepigwa 😂😂
 
Alaska is one of the coldest inhabited places on the planet, Dodoma is one hot place. What kind of idiot would even compare the two in terms of vibes? Enyewe utandale umejaa hawa wapuzi vichwani. 😂 😂 😂
Huyu watchman ako desperate and stupid at the same time. Eti Alaska and Dodoma in the same sentence!
 
Back
Top Bottom