Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ila wakenya wana maisha ya ajabu kweli ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ imagine mtu mpaka social media anaweka hii proudly na society inampa compliments kwamba ni achievement ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ Tanzania watu wanajenga kwa kufuru unakuta nyumba ni refu kama a story building kumbe ni nyumba ya kawaida tu roofing imeenda hewani basi tu bila sababu, wakenya tafuteni siku mfanye study tour Geita kwenye mambo ya ujenzi wa nyumba halafu rudini kwenu ๐Ÿ˜๐Ÿ˜ mtajiona Choo

View: https://x.com/Ja_GemKathomo/status/1873799805115445675?t=DR7DXjgz3GrgDHIAdKb7Tw&s=19

View: https://x.com/KipepeComrade/status/1874088202509943080
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Wewe jamaa umeshanifanya philosopher sasa ๐Ÿค ๐Ÿค  wakundustan hawachelewi kuniloga ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Wanipeleke viral sasa niwasaidie kumuondoa kasongo yeye mobali ๐Ÿ˜‚

Asante sana comrade Kipepe, pokea shukrani toka kwa Lodi Lofa ๐Ÿ˜

images (31).jpeg
images (32).jpeg
images (30).jpeg
 
Ila wakenya wana maisha ya ajabu kweli ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ imagine mtu mpaka social media anaweka hii proudly na society inampa compliments kwamba ni achievement ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ Tanzania watu wanajenga kwa kufuru unakuta nyumba ni refu kama a story building kumbe ni nyumba ya kawaida tu roofing imeenda hewani basi tu bila sababu, wakenya tafuteni siku mfanye study tour Geita kwenye mambo ya ujenzi wa nyumba halafu rudini kwenu ๐Ÿ˜๐Ÿ˜ mtajiona Choo

View: https://x.com/Ja_GemKathomo/status/1873799805115445675?t=DR7DXjgz3GrgDHIAdKb7Tw&s=19

Hushangai wanakuja kuturingishia nyumba zao za Matajiri vs Za watu wa kawaida bongo?

Imagine mtu anapata pesa miaka ya 2024 anajenga hivyo? Tena akiwa humu mdomo mrefu na mali za foreigner.
 
Sasa kama mbunge wao mzima kaoza akili kiasi hicho wananchi wana hali gani? Mbunge hajui mapato yote Kunyaland hayatoshi hata kulipa mishahara yeye anasema yanatosha budget ya nchi 8 hizo 8 ni nchi au Kaya? ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ Kwamba Kunyaland wana budget ya kutosha kujenga BRT phases zote, SGR yote, JNHPP yote, EACOP yote, miradi ya REA, madaraja na barabara kilometers 2000, dozens of new airports, maji na nchi nyingine 7? ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Ajabu hapo mradi mmoja tu unaweza wakausha kiuchumi huoni SGR yao ilivyowakausha?
 
While Tanzania depends on Kenya to finance your rails and power projects.
Wapi kijana?

Umekua ukirudia rudia ila ukiombwa evidence huna.

Kawaida nyie wehu kujishikiza kwa vitu vya Tanzania popular.

Yenu imeishia maporini mpo mnazunguka na mabakuli muda huo huo mnachonga midomo eti mmefinance reli ambayo ipo inatoboa Burundi na Pesa ishapatikana 2000km
 
Back
Top Bottom