Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,905
- 9,730
Hamna lami ππππ
Hamna lami ππππ
Ghorofa mbili Ambazo zitajaa ni achievement kubwa kuliko kujenga airport ambayo itakuwa tembo mweupe. Unafikiri hiyo msalaba airport itafaulu mahali JNIA ilishindwa.Kwamba kujenga international airport sio achievement.? Lakini kujenga gorofa mbili tatu za makazi ni achievements.? Au me ndio sijakuelewa.?
π¨π¨π₯π₯ππGhorofa mbili Ambazo zitajaa ni achievement kubwa kuliko kujenga airport ambayo itakuwa tembo mweupe. Unafikiri hiyo msalaba airport itafaulu mahali JNIA ilishindwa.
Huku kwetu wanyama ni tourist attraction alafu huko kwenu binadamu ndio tourist attraction. π πHadzabs are some of our tourism attractions. They have never been exposed to anything concerning modern life style and foods. Sisi tunapiga pesa kwa kuendelea kuwa na jamii hii, wewe laza matacone tu. πππ
Wanaharibu image ya Nchi yao, ππHuku kwetu wanyama ni tourist attraction alafu huko kwenu binadamu ndio tourist attraction. π π
Huku kwetu wanyama ni tourist attraction alafu huko kwenu binadamu ndio tourist attraction. π π
Unaumia ukiwa wapi π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Bongoslum is allergic to paved roads.
So unajifanya hukuiona render yake, au nikuwekee ulie vzrπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Hamna lami ππππ
Huku kwetu wanyama ni tourist attraction alafu huko kwenu binadamu ndio tourist attraction. π π
Relax, battle haitaki hasira. π πNa kibera ni kivutio cha watalii usijisahaulishe mburula wewe
Hatimae umekubali kwamba Hio plan ilzalishwa kwa enzi za Mwalimu NyerereShida ya hawa watu wanajiona wanaijua Tz kuliko waTz wenyewe kwa kusoma juu juu mitandaoni.
IamLee Dodoma kuwa capital city(gov) was Nyerere's dream lakini hata yeye hakuweza kutimiza hio ndoto. Akaja Mwinyi,Mkapa,K
JK none of them bothered. Then JPM came into power and decided to implement the idea. Na akatunga na sheria bungeni hamna kuhama au kusitisha kuhamia Dodoma ndio WAKAANZA kujenga GOVERNMENT CITY AKA MAGUFULI CITY huku serikali ikihamiiga taratibu. Sasa kama BV unaona Dodoma ni village tafuta youtube video ya Magufuli city uone halafu tuletee kitu kama hicho hapo Kenya.
Really? So when did the parliament shift? And why did the government take 50 years to implement?The government officially shifted its operations in Dodoma in 2017.
Mkiambiwa ukweli unafikiria ni wivu ππWacha wivu mtoto wa kiume unafikiri hiyo ni fake Kisumu airport!
Haikuwezekana kuendelea na mpango baada ya vita na Uganda(Oct.1978-June 1979) ambapo uchumi wa Tz uliporomoka sana. Elewa hilo na usijisahaulishe tafadhali (ingawa nina hakika ulikuwa bado hujazaliwa)ππ...Ila nini ikafanyika? Hamna. Kwa hivo mlifeli kuyatekeleza yale mipango yalivyokuwa yamewekwa. In fact, the actual official moving of the capital was in the late 90βs. Na kuanzia hapo hamna cha maana likichofanyika mpaka enzi za JPM.
Which is my point exactly! βKusitishaβ
Donβt be lazy in implementation...
niliwah kusema sheria za kikodi za nchi hii ziko ovyo sana ππππ how comes VW anaekeza plant rwanda wakat tanzania ina population ya over 58m people hata purchasing power tanzania iko juu sanaTax mbona kubwa hivi, Million Mia mbili na themanini?
kwani london pia kuna kibera?πππ
usiwalaumu bro nchi yao haina sheria πHalafu ni wapumbavu kweli hawajui hata protocol sijui makonda kawalokotea wapi, unaanzaje kumsalimia kwanza a subject then ndio ufate kiongozi mkuu? Mbona wakenya wapo ghetto sana?
hakuna rais pale mzee ni genge la wizi tu wanaojitwisha mali za umma kila kona wakisahau kuna kufa ππππNi Rais mzuri ila changamoto ni ukabila na ujuaji, wanamtengenezea mazingira mabaya ya kuongoza.
Mkiambiwa ukweli unafikiria ni wivu ππ
Kisumu is not a capital but certainly doing quite well
View: https://youtu.be/tzcyOB1vXWE?si=6GtyNOSwA15c0wEZ
View: https://youtu.be/_8hng6LTwxc?si=ncxOhGY9qDA2VXYQ